Sasa wakizaliwa pale ndo nini!Au ndo Yale mambo yenu ya kusilimisha waliokufa?Wakati manabii hao uliowataja uislam haikwepo.Manabii walikuwa wanaotunza amri za MUNGU.Na amri za MUNGU hazibadiliki.Ukisikia mtu anakuambia kila nabii alipewa amri zake jua ni nabii wa uongo.Manabii wote walikuja kuwasisitiza watu watunze amri zile zile alizopewa Musa.Sasa Ili tuamini maneno ya nabii wenu kuwa Musa,Yesu,walikuwa na uislamu ule ule aliokuja nao nabii wenu basi inabidi mzitunze amri zile zile zilizotunzwa na kina Musa Yesu,n.k.
NOTE
Siungi mkono mauaji yanayoendelea Palestine.Wanachofanya waisraeli ni kinyume na MUNGU.Kila taifa lina ardhi yake.Waizraeli wa Wakati wa manabii walikuwa na mipaka yao,na wafilisti(philistines) walikuwa na mipaka yao.Haiji vita hadi wafilisti wanapowavamia waisraeli na kutaka kuwapora ardhi yao.Wangeendelea hivyo hadi leo kusingekuwa na shida.Sasa unamfukuza mfilisti(philistine) aondoke kwenye ardhi yao aende wapi?Siku hizi kila ardhi ina mwenyewe.Waende wapi!Ni upumbavu.Leo aje mkenya atufukuze Tanzania,twende wapi!