Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bikra ni siku Moja TU unasumbuka kuchomeka baada ya hapo unaanza kula kitu mnato na kina bana.Unadhani wangeahidiwa tu wanawake waende wakutane na ma bwawa ingekuwaje?
Wewe ni Mzee wa usedHakuna raha yoyote sema ni ile sifa ya kujiona special sana kwenye maisha ya mwanamke kwa kua mwanaume wake wa kwanza ku penetrate mwili wake.
Mimi binafsi mwanamke bikra simtaki kwa sababu kwa siku za mwanzo hua ni usumbufu na mateso makali sana. Wako very very defensive, yaani bikra sitaki kabisa.
Bro, mwanamke ukimtoa bikra na ukaendelea kumla katika usichana wake. Maumivu siku moja tu baada ya hapo ni kitu mnato.Soma tena mada yangu unielewe, kumla bikra kunakupa raha kwamba wewe ndiye wa kwanza, hata hivyo huwa usumbufu sana tena maumivu hata kwa mwanaume, sasa wale wa kule sijui watakua majini au viumbe gani hivyo ukiwatoa ubikiwa inakubidi uanze upya.
Kabisa. Acha kwanza vijana watengeneze njia, mimi nataka njia iliyotengenezwa.Wewe ni Mzee wa used
Hivi hao mabikra 70 watatoka dunia hii hii tuliyomo au watakuwa imported kutoka sayari nyingine?Tendo la ndoa ni starehe. Ni burudani kama burudani zingine. Na kwa wengine linawapa addiction kabisa.
Neno bikra, kilugha ya Kiarabu lina maana zaidi ya moja. Bikra sio tu asiyeingiliwa. Bikra kilugha lina maana pia ambaye hajazaa, kigori, ni kasichana ama mwanamwari. Neno bikra kwa waarabu hutumika hata kwa wanyama. Mnyama ambaye bado hazaa pia huitwa bikra.......(sio kupandwa, elewa kuzaa).
Turudi kwenye mada, kwa wanaume, kupata mwanamke ambaye hajaguswa na wenzio ni zawadi. We unajisikiaje kama mkeo ndio umemuanza wewe mwenyewe? Pengine huna feeling kwa sababu hujawahi kumtoa msichana bikra yake. Inawezekana mimi na wewe kwetu bikra sio ishu, kwa mwingine bikra ni ishu kubwa na ana ithamini sana. Sasa sioni ubaya mtu kuambiwa atapata anachokitaka.
Mimi nimeelezea tu maana ya bikra na mafungamano yake na wanaume.
Mambo mengine hayanihusu.
Hhahahaha😀 kawaulize masheikh kaka. Mimi nimewasilisha tu.Hivi hao mabikra 70 watatoka dunia hii hii tuliyomo au watakuwa imported kutoka sayari nyingine?
Hahaha kwa sauti ya shekh kipozeo,Yani ni ujuha kbsUtasikia kule kuna mifereji ya pombe Sheikh, tutagigida nyingi mno.
Hahaha kwa sauti ya shekh kipozeo,Yani ni ujuha kbsUtasikia kule kuna mifereji ya pombe Sheikh, tutagigida nyingi mno.
Wewe ni bikira?Ni upuuzi tu hakuna cha mabikira wala nini, ni imani za kishenzi zilizoko duniani na watu wenye akili mbovu wanaziamini
Alafu inavyochekesha et Huku duniani hawaruhusiwi kunywa,eti Hadi wafike pepon[emoji1][emoji1][emoji1]Utasikia kule kuna mifereji ya pombe Sheikh, tutagigida nyingi mno.