Hivi ubikira wa mwanamke una utamu gani? Maana naona watu wanaahidiwa hata peponi

Hivi ubikira wa mwanamke una utamu gani? Maana naona watu wanaahidiwa hata peponi

ubikra hauna faida yeyote mkuu, hizi dini zimeanzishwa zamani kipindi hicho mwanamke bikra anaonekana 'msafi'

hata wakristo, wanaambiwa mbinguni kutakua na barabara za dhahabu, sasa kama kuna dhahabu kila mahali thamani yake iko wapi?

matamanio ya juu kabisa ya binadamu yalikua yanawekwa kwenye dini

kungekua kuna dini iliyoanza saivi ungeskia mbinguni kuna intaneti ya kasi isiyoisha
Bikra ina thamani sana mkuu, ni basi tu tumezoea kutumbukiza popote. Yaani kuanza na huyo mmoja, utoboe kitundu, ukutane na mnato hadi kitundu kizoee ni mwendo wa kuenjoy tu.
 
utoboe kitundu, ukutane na mnato hadi kitundu kizoee ni mwendo wa kuenjoy tu.
imani potofu, kitundu ni kile kile tu hakiongezeki, kiko kama mpira

kuna wanaume wanapenda ile kujiona wao ndo wamezindua, lakini its nothing special
 
Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira.

Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na pia mwanaume hupata maumivu kiaina.

Sasa kwa hawa ambao kila wakitolewa ubikira utakua unawarudia mbona kama itakua shida kwa hao wanaume.

Kwanini dini ing'ang'anie ngono kihivi, maana kawaida hili tendo huwa tu kwa ajili ye kuwezesha viumbe vizaliane, na ndio maana huwa inabidi pawe na kale kautamu ambako huhamasisha viumbe tufanye tendo, la sivyo hatungekua tunazaliana, ila sasa baada ya kufa, hilo tendo halina umuhimu tena maana ni utamu tu wa kimwili na kwa vile mwili wako umezikwa, hauna umuhimu wa hicho kitu.

Mambo kama haya husababisha mapagani wachekelee na kuona kama ujuha uliokubuhu....
Kama haikuhusu achana nayo! Kale githeri huko
 
Bro, mwanamke ukimtoa bikra na ukaendelea kumla katika usichana wake. Maumivu siku moja tu baada ya hapo ni kitu mnato.

Yeah kwa hawa wetu wa hapa duniani, ila hao wa huko peponi ubikira unamrudia tena mnaaza usumbufu wa kumtoa huo ubikira yaani hawa watu huchekesha sana FaizaFoxy brazaj Bwana Utam
 
Back
Top Bottom