Akhsante sanaMkuu binadam ukishamjua hulka yake ni rahisi sana kuishi naye
Hata kama ana tabu kiasi gani utamudu tu
Ni wewe kuignore yatendekayo na kufanya mambo yako na kukamilisha kilichokupeleka pale
Madame S
Mi pia nimepingana na hilo, mtu kukuelekeza maisha sio lazma akukomoe. Hicho kinachoonekana hapo ni tabia flani tu mbovu ambayo mtu anaweza kuwa nayo, commonly kama roho ya kwanini. Sasa jiulize kuwa na roho ndogo ndio kumfundisha mtu maisha???Kiongozi.
Si kama ufikiriavyo.
Ni Udhaifu wa Roho tu.
Kama huamini, mwingine analeta Unoko kwenye Vitu ambavyo wala si vyake/si vya kwake au naweza sema ni Mpambe tu fulani. Wakati ukija kwa mwenye vyake/mwenye Mali wala hana tatizo lolote.
Sasa kwa mfano huo tu.
Kwa kukunukuu, unataka kuniambia "anakufanyia hivyo ili na wewe uweze kuwa na akili ya kufikiri utafuta vyako"
Hapana, nakataa
Huyo huyo aliekufanyia roho mbaya baadae utakaporekebisha atasahau yote mabaya aliyokufanyia.Mtu wa karibu yako ndie anaekufanyia roho mbaya, sasa maisha yakiwa mazuri sioni kama itakuwa vyema umsaidie yule aliekufanyia roho mbaya.
Nadhani we ni mmojawapo mwenye tabia ya kipuuzi ukidhani ni sifa. Ishi na watu vizuri wewe...Uchoyo ubinafsi faida yake ni kuwafundisha watu tegemezi wavivu wazembe kulakulala wasiopenda kujishughulisha wajishughulishe wapate vyakwao sio kukaa na kulalamikia ujinga kama huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe shunie si mchoyo naomba na mimiHauna faida yeyote basi tu ni roho ya mtu ilivyo mbaya au utakuta mwanamke kaolewa ndugu wa mume wakija mwendo wa maharage tu na dagaa mpaka waondoke
Kweli mkuu, na tayari kuna watu wa hivyo washajitokeza kuni attack. Mwisho wa siku kuish na watu vizuri kunajenga kumbukumbu nzuri sana na kuleta baraka zaidi maishani. Watu inabidi tujifunzeWell said mleta Uzi.
Wako watakaosema "Tafuta Chako".
Nadhani litakua jibu superficial kwasababu Tatizo hili ni kubwa sana.
Nafikiri kua watu wana negative energy to others.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani najiulizaga hivi unajiskiaje kumsumbua binadamu mwenzako pasi na sababu za msingi. Cha ajabu mtu kama huyo utakuta ndio namba moja kanisani au mtu wa swala 5! Unajiuliza sasa huko kwenye nyumba za ibada anafuataga nini kama si unafikiSidhani kama kuna faida zaidi ya kujijengea chuki na uhasama mioyoni mwa wanaokuzunguka
Madame S
Pole sana Kiongozi.Hii hatari sana kwa wanawake me ushanitokea mara nyingi kwa Mke wa mjomba
Hahahahahaha, unajikuta unaosha tu na kupigia picha. Ila kuna watu wachungu mno, mtu ndugu yako anaumwa kazidiwa unaona shida kumpa ride eti akatafutiwe usafiri mwengine. Gari yako inabebea malaya tuUnoko tu.
Hapo kwenye Motokaa ndio usiseme.
Kuna baadhi ya wakina Baba, Chombo kipo Nyumbani lakini hawataki Watoto zao kugusa, au japo kuwafundisha.
Au kuwafundisha Wake zao, halafu unakuta wanaishi au wameshaishi Miaka mingi ndani ya Ndoa yao.
Mtu yuko tayari akiwa anaumwa akodiwe Chombo kupelekwa Hospitalini, kuliko kutumiwa Chombo kilicho Nyumbani. Eti kwasababu tu mwenye Chombo chake amepatwa na Maradhi.
Kwa kweli kuna Watu wa ajabu sana hapa Ulimwenguni
Mkuu nafsi tu na roho ya mtu ndio hupelekea hivoYani najiulizaga hivi unajiskiaje kumsumbua binadamu mwenzako pasi na sababu za msingi. Cha ajabu mtu kama huyo utakuta ndio namba moja kanisani au mtu wa swala 5! Unajiuliza sasa huko kwenye nyumba za ibada anafuataga nini kama si unafiki
Inashangaza sana[emoji134] utasema hela ya matumiz anatoa yeye.. ubaya wa watu wabinafs/wachoyo huwa wanajisahau kwamba kuna cku hawatakuwepo dunian cku1.. sasa hapo malipiz ni kwa watoto waliowaacha..Hauna faida yeyote basi tu ni roho ya mtu ilivyo mbaya au utakuta mwanamke kaolewa ndugu wa mume wakija mwendo wa maharage tu na dagaa mpaka waondoke
Hahahahahha mbona umemtolea povu mkuu?Nadhani we ni mmojawapo mwenye tabia ya kipuuzi ukidhani ni sifa. Ishi na watu vizuri wewe...
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Watu wa aina hii huwatenda hayo yote wanaoishi nao, kisha kama haitoshi, utasikia wanawatangaza na kulalamika kwa watu kama, YAANI MIMI NINA MIZIGO NYUMBANI KWANGU. Watu ninawalisha, nawatunza, yaani wananitegemea mimi mpaka ninashindwa kuwanunulia watoto wangu vyakula vizuri.
Hapo hapo wanasahau kuwa hao wanaowaita mizigo unakuta ndo wanaofanya kazi za nyumbani, kuhudumia mifugo na pengine mavazi na breakfast wanajihangaikia wenyewe.
Ushauri: Kama unaona hupendi watu wakae nyumbani kwako, usiwatoe walipo, wapelekee msaada kule kule kwao. Kuliko kuwaleta au kuwakaribisha kwako na kuanza kufanya vitimbwi na kuwasimanga!