bafetimbi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 1,085
- 1,741
Maana nimezoea kila mida ya usiku kuwasha udi moja na kuvutia ganja geto sasa isije ikawa wapuuzi jirani wanasikia mjani.
Wabangi bangi tupeane semina juu ya hili kama inazuia kweli ama hizuii maana kuna limama la jirani mlango wa tatu toka chumba changu kila tukionana asubuhi linaniangalia kwa makini kweli kama vile kuna kitu linataka kubaini toka kwangu, sasa hajiu kuwa mimi ni Putin.