Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nitakula dume
Hata kama ni wewe unaweza kula mnyama anaingia hedhi kama mtu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama ni wewe unaweza kula mnyama anaingia hedhi kama mtu?
😂😂😂Nitakula dume
Wee jamaa ondoa kitimoto hapo juu🤧🤧🤧Tangu nakua mpaka sasa nishazeeka nasikia kuwa Gongo, Bangi na Kitimoto ni haramu. Hivi uharamu wake upo kwenye nini hasa?
GONGO
Uharamu wa Gongo upo kwenye vikorombwezo vinavyotumika kuitengenezea? Kwenye vyombo vinavyotumika kutengenezea ama kunywea? Upo kwenye sehemu inaponywewa au kwa wauzaji wake? Au Uharamu wake upo kwa wanywaji wenyewe?
BANGI
Uharamu wa Bangi ni kwa jinsi inavyolimwa, inavyovunwa, inavyovutwa, maeneo itokako, wavutaji wake au jina lenyewe ndiyo haramu?
KITIMOTO
Huyu mnyama uharamu wake ni kutokana na ngozi yake ilivyoshikana na nyama yake, rangi yake, sauti yake, pua yake, kujaa kwake mafuta, ama tabia yake ya kupenda kujigalagaza kwenye matope?
Hebu tujadiliane jamani!!
Kwahy wanaokula kitimoto ni wanaharamu?
Alcolic level kwenye gongo na K-Vant/konyagi au zile spirits za ki Russia zinatofauti ganiGongo inamaliza nguvukazi ya taifa.... Ni pombe hatari, alcohol level yake iko juu sana..
Hizo zingine hazina shida yoyote, ni wewe tuu.
Kwa kweli hakuna tofauti...Alcolic level kwenye gongo na K-Vant/konyagi au zile spirits za ki Russia zinatofauti gani
johnthebaptist mbunge wa Iringa kwa tikiti ya chechemaa unakubaliana na mgosi Tate Mkuu?Ukiondoa kuku wa kuchoma wa kienyeji, huyu mdudu anashika nafasi ya pili kwenye kundi la nyama zangu pendwa.
Mtu wa masaki anawezaje kuwa Mbunge wa Iringa?johnthebaptist mbunge wa Iringa kwa tikiti ya chechemaa unakubaliana na mgosi Tate Mkuu?
Masaki ipi mkuu? Kuna Masaki Fulani mbele ya Gongo la mboto Kama unaelekea dampoMtu wa masaki anawezaje kuwa Mbunge wa Iringa?
Masaki ya Masaki...Masaki ipi mkuu? Kuna Masaki Fulani mbele ya Gongo la mboto Kama unaelekea dampo
Noma sana!Ngurue kwa wakristo anakatazwa tusile kwa sababu haja meet criteria za kuwa na kwato na kucheua, mcheuo ni kiungo muhimu sana[emoji28]. Kuna wengine kama ngamia na sungura hawna izo sifa! Mungu alimwambia Musa atuambie tule wanyama wenye kwato na wanaocheua kasome Mambo ya walawi 11:27 japokua sisi tunakula sijajua kwa upande wa hawa ndugu zetu wa vibandiko au wanapenda mcheuo sana[emoji23].
Kuhusu bangi, gongo, sigara, ugoro na vyote vyenye madhara kwa maisha na afya ya binadamu: sababu ni dhambi. Kwenye theologia ya kikatoloki kuna dhambi inaitwa "sin of desperatio" dhambi ya kukataa huruma ya Mungu aliekupa uhai, kwa kutumia hivo unahatarisha uhai wako ambayo ndio huruma ya mungu.
Hahaha........!Masaki ya Masaki...
Mashekh wenu ndio wanawadanganya katika miadhara kuwa nguruwe anaingia hedhi?Hata kama ni wewe unaweza kula mnyama anaingia hedhi kama mtu?
Ngamia hacheui lakini analiwa na sisi waislamu bila shaka yoyoteNgurue kwa wakristo anakatazwa tusile kwa sababu haja meet criteria za kuwa na kwato na kucheua, mcheuo ni kiungo muhimu sana😅. Kuna wengine kama ngamia na sungura hawna izo sifa! Mungu alimwambia Musa atuambie tule wanyama wenye kwato na wanaocheua kasome Mambo ya walawi 11:27 japokua sisi tunakula sijajua kwa upande wa hawa ndugu zetu wa vibandiko au wanapenda mcheuo sana😂.
Kuhusu bangi, gongo, sigara, ugoro na vyote vyenye madhara kwa maisha na afya ya binadamu: sababu ni dhambi. Kwenye theologia ya kikatoloki kuna dhambi inaitwa "sin of desperatio" dhambi ya kukataa huruma ya Mungu aliekupa uhai, kwa kutumia hivo unahatarisha uhai wako ambayo ndio huruma ya mungu.
Masaki maana yake ni Vita...Hahaha........!