Hivi uharamu wa Gongo, Bangi na kitimoto ni nini?

Hivi uharamu wa Gongo, Bangi na kitimoto ni nini?

Bangi nimevuta
Nguruwe nimekuwa mchinjaji kwa takribn miez 7 Kisha nikaacha na Kaz kbsa ,dkk 20 zijazo naenda kula kanusu naugali

Gongo nimewai mm na mtoto wa Bab angu. Mkubwa tume kwenda kumchukuwa bab ake by 2001s HV miaka hyo yule mzee kashafariki kitambo tu kwa madhara hayohayo
 
Masaki ipi mkuu? Kuna Masaki Fulani mbele ya Gongo la mboto Kama unaelekea dampo
Weee siku yakwanza kuziona zile gari pale buguruni limeandika Masaki, nilitaka kupanda nikajua zinaenda msasani, sasa yakwanza nikaona inanyoosha tazara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikauliza lahaula nilicheka mwenyewe ha ha ha
 
Mambo ya Walawi Watanzania yanatuhusu Nini Sasa[emoji2]
Mwambie hata wewe, hapa aseme mambo ya wazaramo, hata wanyamwezi au wafipa Walawi wapi na wapi[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sigara, shisha ni hatar zaid ya Bangi

Konyagi&K vant na pombe kali zingine ni hatar the same way ilivyo gongo.

Hiyo biashara ya watu tu kupiga vita vileo asilia vinavyopatikana kwa chp price ili mununue vinavyouzika kwa bei za kibiashara, mtoe kodi na kuinua mapato ya wakubwa, , other way vileo asilia ni Hatar kulko vileo ambavyo si asilia, maana vya kiasili wao wanadai havijapomwa viwango vya ulevi so ni hatr kwa mwanadamu.

Na kuhusu nguruwe hapa hata sina neno, hao wana chuki zao tu za kijinga, waliacha kukataza kula popo na nyoka wakakimbilia kwa nguruwe, walitaka kutunyima nini hao majamaa?
 
Tangu nakua mpaka sasa nishazeeka nasikia kuwa Gongo, Bangi na Kitimoto ni haramu. Hivi uharamu wake upo kwenye nini hasa?

GONGO
Uharamu wa Gongo upo kwenye vikorombwezo vinavyotumika kuitengenezea? Kwenye vyombo vinavyotumika kutengenezea ama kunywea? Upo kwenye sehemu inaponywewa au kwa wauzaji wake? Au Uharamu wake upo kwa wanywaji wenyewe?

BANGI
Uharamu wa Bangi ni kwa jinsi inavyolimwa, inavyovunwa, inavyovutwa, maeneo itokako, wavutaji wake au jina lenyewe ndiyo haramu?

KITIMOTO
Huyu mnyama uharamu wake ni kutokana na ngozi yake ilivyoshikana na nyama yake, rangi yake, sauti yake, pua yake, kujaa kwake mafuta, ama tabia yake ya kupenda kujigalagaza kwenye matope?

Hebu tujadiliane jamani!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sacred weed
giphy.gif
 
Tuanza na Mkuu wa Meza [emoji241] KitiMoto

Huyu ana mnyoo ambao umethibitika kitabu kwamba haufi hata ukiwekwa kwenye nyuzijoto 130 na zaidi yaan hata akiwekwa kwenye lile joto la kuyeyushia chuma hafi na huyo mnyoo chakula chake kikubwa ni protein na hupendelea zaidi protein ya kwenye ubongo wa mwanadamu, hivyo basi akiingia mwilini hukimbilia kwenye ubongo kisha anaanza kuishi uko

Anaitwa Taenia solium husababisha Cysticercosis pamoja na Taeniasis

Bangi hii bwana ni uraibu na ina uraibu mkubwa nakumbuka Bro's wangu wawili km sio watatu imewachukua hii kitu

Wa kwanza alikua akivuta bangi ndio anapata stimu za kulima so akienda shamba chakula chake kikubwa kilikua ni Bangi na alikua analima mchana wa jua Kali saaana yaan akishapiga bangi zake kete kadhaa akishanyonga akavuta mipuli yake kadhaa anaingia shamba analima na alikua analima sio kawaida, but siku ya siku ilimchukua maana alianguka shambani ile kumuwaisha hospital wakagundua kaishiwa maji ikabidi wamwekee dripu za maji wakaangaika madaktari weee kumkomboa ila hakumaliza wiki akavuta pumzi ya mwisho

Wa pili yeye pia alikua anavuta bangi ila hali chakula chochote kwa hio the same alivuta siku sababu ya kupungukiwa maji na alikua ameanza kua mental retarder, naye akavuta pumzi ya mwisho bangi ikamchukua

Wa mwisho yeye alikua ndio anaanza kuingia kwenye uraibu wa kuvuta bangi sasa bahati mbaya siku hio amevuta akapanda kwenye bodaboda wanaenda club na wenzake si akajisahau kwamba yupo kwenye bodaboda akajirusha akaangukia kichwa huo ndio ukawa mwisho wake maana alipasuka fuvu la kichwa na damu zilivilia kwenye ubongo baada ya siku 3 tukamzika

Gongo sio nzuri hii pia imenipotezea brother wangu mwingine, yeye huyu alikua akishapiga urabu wake anawavizia wake za watu anaokunywa nao gongo kisha anawamega, basi akategewa mtego kuna mke wa mtu alikua anammendea mmewe akawa amegundua mchezo wa jamaa kwamba Jamaa anamla mkewe sasa siku ya siku Jamaa akajichanganya akaenda kwa huyo mwanamke wakafanye yao Jamaa alipokutwa red-handed akakatwa bega kwa panga, bro hakumaliza wiki nae alipoteza maisha

Sasa umeona ubaya wa hivyo vitu kwenye jamii na mifano hai tunayo

NB:

Kuna watu bangi haiwadhuru ila inawachukua taratibu wanakufa kidogo kidogo yaan inawatafuna kidogo kidogo

Kuna watu Kitimoto hawadhuru ila inawachukua wanakufa kidogo kidogo mpaka aje kushtuka mwili mzima umejaa minyoo tupu hapo ndipo mtu anarukwa na akili

Kuna watu gongo haiwadhuru ila inawachukua taratibu wanakufa kidogo kidogo yaan sura ya kizee ila ni mtoto tu wa miaka 20

Sipendi bangi
Sipendi gongo
Sipendi kitimoto

Nayajua madhara yake ni makubwa kuliko wengine wanavyoyachukulia

Nitarudi...
Sipendi bangi
Sipendi gongo
Sipendi kitimoto
[emoji848] ila sefuli unapenda[emoji2827]
 
Kwa cc waislam jambo lolote tuliloharamishiwa bc ujue lina madhara kwa afya ya binadam ndo maana linakua ni haram
 
Sipendi bangi
Sipendi gongo
Sipendi kitimoto
[emoji848] ila sefuli unapenda[emoji2827]
00000000 zikianza na 1 2 3 4 5 6 7 8 9 sasa hapo katikati weka 000000000 ziwe nyingi nyingi

Mfano:

1000000000, 20000000, 300000000, 40000000, 50000000, 60000000, 700000000, 800000000, 900000000

Huo ndio ugonjwa wangu mkuu hakuna kingine
 
Back
Top Bottom