Hivi Uhuru hakomi kujipendekeza kwa Magufuli

Kwa hoja zao za kipumba utawajua tu. Mbona dish za wafuasi wote wa hii dini mpya ya yesu wa Chato huwa zinayumba yumba? Huwa najaribu sana kupata jibu la swali hili bila mafanikio.
 
Video ipo, kasema amepigiwa simu na uhuru.
Eeee kawaida yake hyo, kila wakati akiongea na simu na wenzake husema amepigiwa..
Huku wenzake hata wakiongea nae huaga hawaongei haswa hzo ishu za kwamba wameongea na jiwe katika misafara yao
 
Hii ni assumption juu ya uwezo wako wa kung'amua, its called total high carrot for carrot diplomacy! Baada ya KQ kunyukwa ban ya miezi miwili Uhuru kawa mwepesiii kama unyoya anakuja amechutama baada ya kujishtukia yu-uchiii wa mnyama!
Bado unaendelea na utoto
 
Eeee kawaida yake hyo, kila wakati akiongea na simu na wenzake husema amepigiwa..
Huku wenzake hata wakiongea nae huaga hawaongei haswa hzo ishu za kwamba wameongea na jiwe katika misafara yao
Hahahaha Magufuli anataka nini kwa uhuru ampigie simu? Mbona Unachekesha 😅😅😅
 
Na ya Phillipe Nyusi iko wapi mkuu?
 
Kuanzia leo watanzania tumekubaliana music awards zote tutawapigia kura wanamuziki toka Kenya na sio Hawa vibaraka wa dikteta wanaouhujumu demokrasia. So wakenya kura zetu mtachukua Hawa watapigiwa na ccm
 
Acha uchawi
 
Pale unapotaka kulazimisha kila Mtanzania awe na mtizamo kama wako,alafu unalalamika udikteka wakati hicho ulicho kiandika kina reflect UDIKTETA halisi.

Hujashikiwa bunduki kupiga kura kama utaki acha,ila sisi tutapiga.
 
Kama walivyofanyiwa wanamuziki wa congo kwa kumsapoti dikteta kabila ndivo hivohivo
 
Pale unapotaka kulazimisha kila Mtanzania awe na mtizamo kama wako,alafu unalalamika udikteka wakati hicho ulicho kiandika kina reflect UDIKTETA halisi.

Hujashikiwa bunduki kupiga kura kama utaki acha,ila sisi tutapiga.
We Kama msanii au mnufaika wa sanaa mtakula mlipopeleka mboga
 
Sasa kama Nyerere alikuwa anaketi na kuzungumza na babake rais Uhuru Kenyatta, huyu Yesu wa Chato atakuwa ndio nani ajione keki wakati kiuhalisia yeye ni kama tu mihogo, tena ya sumu? [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…