Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
ikitokea Uhuru anakuja tuwaiteje? LDC pia?So Uganda,burundi na Malawi izo pia ni nchi!!!
LDCs tupuuuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ikitokea Uhuru anakuja tuwaiteje? LDC pia?So Uganda,burundi na Malawi izo pia ni nchi!!!
LDCs tupuuuuuuu
Tuwavumilie..Ila hirani mwenye chuki na jeuri
Eeee kawaida yake hyo, kila wakati akiongea na simu na wenzake husema amepigiwa..Video ipo, kasema amepigiwa simu na uhuru.
Bado unaendelea na utotoHii ni assumption juu ya uwezo wako wa kung'amua, its called total high carrot for carrot diplomacy! Baada ya KQ kunyukwa ban ya miezi miwili Uhuru kawa mwepesiii kama unyoya anakuja amechutama baada ya kujishtukia yu-uchiii wa mnyama!
Bado unaendelea na utoto
Hahahaha Magufuli anataka nini kwa uhuru ampigie simu? Mbona Unachekesha 😅😅😅Eeee kawaida yake hyo, kila wakati akiongea na simu na wenzake husema amepigiwa..
Huku wenzake hata wakiongea nae huaga hawaongei haswa hzo ishu za kwamba wameongea na jiwe katika misafara yao
Uhuru anaepa hili gundu kule WTO, Amina chalii... halafu kabakisha mwaka na nusu atoke! Kule Mwanza kuna Raila Odinga road, Dar kuna Chakwera pale state of the art Dar Bus Terminal wakati kule Kigoma kuna Ndayishimiye mahkama ya kanda! Wakati TPA headquarter kuna jina la Joseph Kabila, Kibaki nae ana barabara yake!
Usisahau majina ya Museveni kwenye his mega brainchild project na schools all over the country! Lazma ajihisihisi, kumbuka alikuja bila kukaribishwa akapewa tausi aende kufuga halafu awarudishe kama assignment! Roho inamuuma jina litapotea akitoka Urais na wale tausi wana market Tanzania Kenya! Akija Bongo JPM asisahau ampe picha ya Mt Kilimanjaro akaibandike Ikulu!
Nina uhakika pipeline ya Dar-Mombasa litajengwa! aanakuja ku-sign MOU joto la jiwe na Tony254 njooni huku...!
Acha uchawiKuanzia leo watanzania tumekubaliana music awards zote tutawapigia kura wanamuziki toka Kenya na sio Hawa vibaraka wa dikteta wanaouhujumu demokrasia. So wakenya kura zetu mtachukua Hawa watapigiwa na ccm
Wasaliti watapigiwa kura na ccmAcha uchawi
Pale unapotaka kulazimisha kila Mtanzania awe na mtizamo kama wako,alafu unalalamika udikteka wakati hicho ulicho kiandika kina reflect UDIKTETA halisi.Kuanzia leo watanzania tumekubaliana music awards zote tutawapigia kura wanamuziki toka Kenya na sio Hawa vibaraka wa dikteta wanaouhujumu demokrasia. So wakenya kura zetu mtachukua Hawa watapigiwa na ccm
Kama walivyofanyiwa wanamuziki wa congo kwa kumsapoti dikteta kabila ndivo hivohivoPale unapotaka kulazimisha kila Mtanzania awe na mtizamo kama wako,alafu unalalamika udikteka wakati hicho ulicho kiandika kina reflect UDIKTETA halisi.
Hujashikiwa bunduki kupiga kura kama utaki acha,ila sisi tutapiga.
We Kama msanii au mnufaika wa sanaa mtakula mlipopeleka mbogaPale unapotaka kulazimisha kila Mtanzania awe na mtizamo kama wako,alafu unalalamika udikteka wakati hicho ulicho kiandika kina reflect UDIKTETA halisi.
Hujashikiwa bunduki kupiga kura kama utaki acha,ila sisi tutapiga.