joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kama walivyofanyiwa wanamuziki wa congo kwa kumsapoti dikteta kabila ndivo hivohivo
Unazani unacho kiwaza wewe,basi kila mtz anawaza hivyo hivyo,sisi tutapiga hujashikiwa bunduki kama hutaki acha.We Kama msanii au mnufaika wa sanaa mtakula mlipopeleka mboga
Kama anasema uwongo, mbona hao marais huwa hawakanushi kauli yake?Eeee kawaida yake hyo, kila wakati akiongea na simu na wenzake husema amepigiwa..
Huku wenzake hata wakiongea nae huaga hawaongei haswa hzo ishu za kwamba wameongea na jiwe katika misafara yao
Sasa kama Nyerere alikuwa anaketi na kuzungumza na babake rais Uhuru Kenyatta, huyu Yesu wa Chato atakuwa ndio nani ajione keki wakati kiuhalisia yeye ni kama tu mihogo, tena ya sumu? [emoji1]
Sasa kama Nyerere alikuwa anaketi na kuzungumza na babake rais Uhuru Kenyatta, huyu Yesu wa Chato atakuwa ndio nani ajione keki wakati kiuhalisia yeye ni kama tu mihogo, tena ya sumu? [emoji1]
Acha kukanusha, huaga hawana time na hzo ishu za maongezi haswa...ye akitaka aseme amepigiwa mpka kiamaKama anasema uwongo, mbona hao marais huwa hawakanushi kauli yake?
Hizi ndio hadithi ambazo mlikuwa mnapigiwa mkiota moto kwenye vijiji vyenu vya ujamaa? [emoji1]Nyerere alimnunulia gari la kwanza Jomo Land Rover ya kwanza ya KANU na alimlipia wakili kumtetea alipowekwa gerezani Kapenguria!
Chama cha KAU(Kenya African Union) kililipia mawakili, sio mmoja tu, wa kuwatetea Jomo Kenyatta na wenzake(Kapenguria Six) walipokamatwa. Mawakili kutoka Kenya A.R. Kapila, Chunilal Madan, Fitz De Souza, Jaswant Singh na H.O. Davis kutoka Nigeria, Chaman Lall(India) na Dennis Pritt(London). My dogged struggle to free Kenyatta and the Kapenguria Six from jailNyerere alimnunulia gari la kwanza Jomo Land Rover ya kwanza ya KANU na alimlipia wakili kumtetea alipowekwa gerezani Kapenguria!