Hivi ukiachana na skafu anayopenda kuvaa Mwigulu Nchemba ni sifa zipi Nyingine zilimfanya achukue form ya kugombea Urais 2015 ?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari wana JF ,nimewaza sana kuhusu uthubutu wa kugombea kuwa Rais wa Nchi ,nimegundua cha kwanza lazima uwe na sifa .

Nikajiuliza hivi Ukachana na Skafu anayopenda kuvaa Mwigulu Nchemba ya Rangi za bendera ya Taifa ni sifa zipi Nyingine zilimsukuma achukue form ya kugombea Urais 2015 kupitia CCM ?

Urais ni rahisi au ana sifa ?
 
Huyo ni bilionea,tunataka rais tajiri,Kumiliki timu ligi kuu,mabasi,oetrol station,kampuni ya kubet nk
 
  • Thanks
Reactions: RNA

Kimsingi urais wa Tanzania unaweza kugombewa na mtanzania yoyote mwenye umri wa miaka 42+, mwanachama wa chama cha siasa, kisha uwe na elimu ya kiwango cha degree na kuendelea. Mwigulu sifa zote hizo anazo. Ila sifa ya ushirikina ndio imempa nguvu kubwa ya kutaka kugombea urais.
 
Huyo ni bilionea,tunataka rais tajiri,Kumiliki timu ligi kuu,mabasi,oetrol station,kampuni ya kubet nk

Cha ajabu hizo mali zake haziko kwa jina lake, ishara kuwa ni pesa za wizi. Kichekesho ni pale atapoondolewa kwenye uwaziri, hiyo timu nayo itafilisika! Wenzetu wanaweka matozo ili kuchota pesa za kufanya mambo yao.
 
Inauma sana aisee
 
Habari wana JF ,nimewaza sana kuhusu uthubutu wa kugombea kuwa Rais wa Nchi ,nimegundua cha kwanza lazima uwe na sifa .

Nikajiuliza hivi Ukachana na Skafu anayopenda kuvaa Mwigulu Nchemba ya Rangi za bendera ya Taifa ni sifa zipi Nyingine zilimsukuma achukue form ya kugombea Urais 2015 kupitia CCM ?

Urais ni rahisi au ana sifa ?
Ni kama sa100 kuvaa ijabu tu hawana sifa yoyote zaidi ya kujaza vyoo na ufisadi
 
Back
Top Bottom