Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
URAIS wa Tanzania ni Rahisi sana Kama Magufuli aliuweza hata wewe au mimi tutawezaHabari wana JF ,nimewaza sana kuhusu uthubutu wa kugombea kuwa Rais wa Nchi ,nimegundua cha kwanza lazima uwe na sifa .
Nikajiuliza hivi Ukachana na Skafu anayopenda kuvaa Mwigulu Nchemba ya Rangi za bendera ya Taifa ni sifa zipi Nyingine zilimsukuma achukue form ya kugombea Urais 2015 kupitia CCM ?
Urais ni rahisi au ana sifa ?