Hapa Boko Basihaya iko chapa yake DarajaniSifa nyingine ni kuandika jina lake kwenye mawe makubwa Tz nzima
Mtela Mwampamba na Wakudadavuwa ndiyo walipewa hiyo kandarasi ya kuchora jina la mwigulu kwenye majabali tz nzima.Hapa Boko Basihaya iko chapa yake Darajani
Kuna aliyekua anatembea na katiba na ilani ya ccm eti ndo uzalendo kumbe mwizi tuHiyo ya kuvaa skafu kwa nini unataka kuitoa, kwani sio sifa hiyo?.
Hili nalo nenoUnaongelea skafu tu?
Kwenye ule uchaguzi haikuwa ajabu hadi kichaa kuchukua fomu na kupewa ofisi CCM ni ya ajabu sana sote tunajua yalitoyotokea.
Habari wana JF ,nimewaza sana kuhusu uthubutu wa kugombea kuwa Rais wa Nchi ,nimegundua cha kwanza lazima uwe na sifa .
Nikajiuliza hivi Ukachana na Skafu anayopenda kuvaa Mwigulu Nchemba ya Rangi za bendera ya Taifa ni sifa zipi Nyingine zilimsukuma achukue form ya kugombea Urais 2015 kupitia CCM ?
Urais ni rahisi au ana sifa ?
Huyo ni bilionea,tunataka rais tajiri,Kumiliki timu ligi kuu,mabasi,oetrol station,kampuni ya kubet nk
Inauma sana aiseeCha ajabu hizo mali zake haziko kwa jina lake, ishara kuwa ni pesa za wizi. Kichekesho ni pale atapoondolewa kwenye uwaziri, hiyo timu nayo itafilisika! Wenzetu wanaweka matozo ili kuchota pesa za kufanya mambo yao.
Ni kama sa100 kuvaa ijabu tu hawana sifa yoyote zaidi ya kujaza vyoo na ufisadiHabari wana JF ,nimewaza sana kuhusu uthubutu wa kugombea kuwa Rais wa Nchi ,nimegundua cha kwanza lazima uwe na sifa .
Nikajiuliza hivi Ukachana na Skafu anayopenda kuvaa Mwigulu Nchemba ya Rangi za bendera ya Taifa ni sifa zipi Nyingine zilimsukuma achukue form ya kugombea Urais 2015 kupitia CCM ?
Urais ni rahisi au ana sifa ?