Hivi ukiachana na skafu anayopenda kuvaa Mwigulu Nchemba ni sifa zipi Nyingine zilimfanya achukue form ya kugombea Urais 2015 ?

URAIS wa Tanzania ni Rahisi sana Kama Magufuli aliuweza hata wewe au mimi tutaweza
 
Labda zile PhD zake
 
Wewe unamkosea ujue, kwani alisema anataka kuwa rais wa nchi? Yeye alitaka kuwa rais wa MAWE. Nyie mlimwelewa vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…