Hata ukitafuta kazi ya kubeba mizigo masokoni utakosa. Na hii haijalishi hata kama una vyeti mpaka vinajaa pipa.Maana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary,
Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige Tu
Sasa mbona unajistukiaMaana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary,
Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige Tu
Lengo la huu uzi ni nini.Maana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary,
Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige Tu
Sio kweli.KAMA HUNA CONNECTION UNAWEZA TAFUTA KAZI HATA MIAKA 10 NA USIPATE
ππππππππππNilienda kuomba kazi ya kubeba zege wakasema kwa jinsi nilivyochomekea siwezi kazi, now days natembea na bukta
Hayo yalishanikuta, ma grads wa juzi tunapata shida sana tunaambiwa tutafute hata vijikazi vidogo mtaani lakini hata huko tunakataliwa tukiambiwa hatuwezi kazi kwa jinsi tunavyovaa au ung'aavu wetu tu.Nilienda kuomba kazi ya kubeba zege wakasema kwa jinsi nilivyochomekea siwezi kazi, now days natembea na bukta
Kweli mkuu hii ilinikuta siku nimeenda kuomba kazi shirika la BAYLOR yaani wale masecretary walinifanyia kitu kibaya sitosahau maishani.wengi tunadharau njia walizokua wakitumia wazee wetu kupata ajira kwani baada ya kumaliza masomo walikua wakitembea na vyeti kwenye maofisi mashirika kuomba kazi na walifanikiwa kwa mtindo huo
lakini vijana wa leo tunashinda ndani tukiperuzi kwenye mitandao kusaka matangazo ya ajira ambayo mengi ni feki na mengine yameisha muda.
Doar to doar ni njia nzuri binafsi ilinisaidia sana na usikubali kuishia getini kwa walinzi hakikisha unaingia kuonana na meneja au wahusika wa kampuni walinzi wanakuaga na majibu ya kukatisha tamaa siku zote anakujibu kanakwamba yeye ndio mkurugenzi "hakuna kazi"
Pole mkuu, umeongea kwa hisia mpaka imeniuma kama nilifanyiwa mmkweli mkuu hii ilinikuta siku nimeenda kuomba kazi shirika la BAYLOR yaani wale masecretary walinifanyia kitu kibaya sitosahau maishani
wengi tunadharau njia walizokua wakitumia wazee wetu kupata ajira kwani baada ya kumaliza masomo walikua wakitembea na vyeti kwenye maofisi mashirika kuomba kazi na walifanikiwa kwa mtindo huo