Kwani kusaidiana ni mashindano na "utukufu"?!!Sasa Kama kakusaidia asiseme?
Mkuu Kuna mtu aliyefanikiwa bila ya kusaidiwa?!!Wengi mnaosaidiwa huja kuwa wagumu kusaidia wengine
Pengine mhusika anajaribu kuweka kumbukumbu sawa just in case utakapoanza badilika mbele huko..
Kwani wakati unamsaidia ulimwambia na kuwekeana mkataba kuwa atakapofanikiwa ATAKULIPA HAYO UTAKAYO?!!!Nilimsaidia demu fulani tulisoma nae chuo kimoja na kozi moja, mwanzo tuko chuo nilikuwa namfatilia na nilikuwa nampenda sana hadi leo, alivopata kazi kupitia mimi nikawa nakumbushia utongozaji daaah alinijibu "UNATAKA RUSHWA YA NGONO" nitakurepoti kwa mamlaka!!
Daaah nilishangaa sana, sasa mfano issue kama hii nisimwambie mtu wangu wa karibu au rafiki yake kubwa ikiwa ni kuweka sawa?
So kuna namna ya Ku present hizo fagilia zikaonekana ushamba au majivuno, sio zote uki breach no mbaya nyingine unalazimika.
Hapana tena tulikuwa na mawasiliano mazuri tu sema mzigo ndo alikuwa ananichenga.Kwani wakati unamsaidia ulimwambia na kuwekeana mkataba kuwa atakapofanikiwa ATAKULIPA HAYO UTAKACHO?!!!
Sasa unalalamika nini?!!Hapana tena tulikuwa na mawasiliano mazuri tu sema mzigo ndo alikuwa ananichenga.
Tafakari kwa kina sijalalamika, nimesoma Uzi nikakumbuka hili lililonitokea kwa sababu ilibidi nihusishe baadhi ya watu tulisove maisha yaendee nikaishia pale pale kumfatilia lakini hakuwahi kusema hata ahsante !Sasa unalalamika nini?!!
Sasa unayaripoti kwa wengine ili iweje?!!
Na hawa wanaume wenzetu waliotubeba maishani ndio tuwalipe "migongo" maana kuna wengine ni "mabaahaashaa"?!![emoji1787]
Asante uliyoitaka ni kukupa "unyevu" si ndio?!!🤣🤣Tafakari kwa kina sijalalamika, nimesoma Uzi nikakumbuka hili lililonitokea kwa sababu ilibidi nihusishe baadhi ya watu tulisove maisha yaendee nikaishia pale pale kumfatilia lakini hakuwahi kusema hata ahsante !
Hiyo ilikuwa before hata kumsaidia kupata job ! Nilikuwa nataka sana unyevu wake ni kisu mkuu.Asante uliyoitaka ni kukupa "unyevu" si ndio?!![emoji1787][emoji1787]
Ukiona mtu anafanya hivyo ujue ni utoto.Kuna tabia flani ntaaita ya kishwaini ambayo tunayo wabongo hasa wenye sijui ni ushamba au, mtu kakuomba assistance katika jambo lake flani au kakwama hivi...
Unampa shavu halafu baadae huko ni mwendo wa kujisifia tu kwa watu. "David amepata kazi bana ila bila mie kufanya mambo pale Airtel wasingemchukua" hapo ni kwenye mkusanyiko wa ndugu labda...au jamaa! Wengine wanaenda deep kwamba jamaa toka nimtaftie kazi hata simu tu hajapiga.
Do you really need to do that? Kuna ulazima wa kujimwambafy ukimsaidia mtu?