Hivi ukimsaidia mtu ni lazima uchukulie ujiko?

Hivi ukimsaidia mtu ni lazima uchukulie ujiko?

Kuna hawa 'viumbe' ukiwasaidia tu kidogo basi wanataka kukulipa fadhila, ushauri wako tafadhali!
 
Nikishagamsaidia mtu huwa sitaki hata nifahamiane nae tena ila huwa napenda aendelee kufanikiwa
 
Kuna wanawake nawasaidia mambo mengi wengine nawatafutia kazi hadi umu wapo ila sasa wanataka kujiingiza kwenye mahusiano na Mimi wakati nawachukulia Kama dada zangu


Yaani hapo maanake watakuwa Kama wamenilipa kwa kunipa papuchi yaani Mimi sijatoa msaada nilipwe na sitaki kuharibu baraka zangu


Hivyo basi nawakimbia, nawapotezea

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
kuwa watu hawawezi kusaidia watu kimya kimya ndio wako hivyo, ila kukaa kimya nzuri zaidi
 
Kuna wanawake nawasaidia mambo mengi wengine nawatafutia kazi hadi umu wapo ila sasa wanataka kujiingiza kwenye mahusiano na Mimi wakati nawachukulia Kama dada zangu


Yaani hapo maanake watakuwa Kama wamenilipa kwa kunipa papuchi yaani Mimi sijatoa msaada nilipwe na sitaki kuharibu baraka zangu


Hivyo basi nawakimbia, nawapotezea

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ila masela wakija unawaambia kazi hamna sio?
 
Shida sijui inakujaje unakuta mtu ulipewa elf 50 pale baadae ukaomba elf 30 hapa, sasa wa hamsini na thelathini wakikutana sehemu wanaanza kuambizana hee na wewe ulimpa mbona na mi nilimpa basi kwisha habari yako................ 😂 😂 😂 kumbe maskini una shida zako tuu za kawaida.
Ila Mungu Fundi hivi sisi tungewapa misaada wazungu wangetoboa humu duniani kweli? maana tungewapaka kisawasawa mara fedha, mara chakula, mara dawa,mara vifaa, mara utaalamu hakika mwisho wa siku tungewatukana sana...........nawaza tu...!
 
Kuna tabia flani ntaaita ya kishwaini ambayo tunayo wabongo hasa wenye sijui ni ushamba au, mtu kakuomba assistance katika jambo lake flani au kakwama hivi...

Unampa shavu halafu baadae huko ni mwendo wa kujisifia tu kwa watu. "David amepata kazi bana ila bila mie kufanya mambo pale Airtel wasingemchukua" hapo ni kwenye mkusanyiko wa ndugu labda...au jamaa! Wengine wanaenda deep kwamba jamaa toka nimtaftie kazi hata simu tu hajapiga.

Mwengine nae..."Fredy alikuja kututembelea last weekend tukala lunch nikampa na elfu 50 atie mfukoni"...Kulikuwa na haja gani ya kusema ulimpa hela?

Do you really need to do that? Kuna ulazima wa kujimwambafy ukimsaidia mtu?
Angalau sasa tumeshajua unaitwa Fredy
 
Back
Top Bottom