Leo weekend.. acha tukatimue vumbi..😀😀😀 hii dunia furu sarakasiTabia
za kixenge hizo, ina maana mtu kama huyo ana pigo za kishory
Duh pole mkuu, angekukataa ila sio kwa kejeli hivyo jamani na kazi umemtafutia Kuna watu hawana aibu dadekiNilimsaidia demu fulani tulisoma nae chuo kimoja na kozi moja, mwanzo tuko chuo nilikuwa namfatilia na nilikuwa nampenda sana hadi leo, alivopata kazi kupitia mimi nikawa nakumbushia utongozaji daaah alinijibu "UNATAKA RUSHWA YA NGONO" nitakurepoti kwa mamlaka!!
Daaah nilishangaa sana, sasa mfano issue kama hii nisimwambie mtu wangu wa karibu au rafiki yake kubwa ikiwa ni kuweka sawa?
So kuna namna ya Ku present hizo fagilia zikaonekana ushamba au majivuno, sio zote uki breach no mbaya nyingine unalazimika.
Yaani we acha tu niliumia kwa hilo neno lake halafu wakati huo keshalamba shavu.Duh pole mkuu, angekukataa ila sio kwa kejeli hivyo jamani na kazi umemtafutia Kuna watu hawana aibu dadeki
Vizuri kama ulisharuhusu yapite, wewe endelea na maisha yakoYaani we acha tu niliumia kwa hilo neno lake halafu wakati huo keshalamba shavu.
Lakini nishasamehe yote na mimi nilimuomba Mungu msamaha.
Ahsante kwa pole yako Noelia
Amina.Vizuri kama ulisharuhusu yapite, wewe endelea na maisha yako
, sijakuzwa kumshobokea mtu 😁Sio kujichukulia ujiko tu wengine wanataka uwaabadu na kuObey chochote...Ni ushamba)Ujinga wa kiafrika tu
Wakati unapotoa sadaka mkono wako wa kushoto hautakiwi ujue umetoa ngapi. Saidia kisha sahau msaada wako maana ukiwa unaukumbuka utakua unataka malipo ya msaada uliotoa, Hence unakua sio msaada tena bali ni Huduma uliyouza/Kopesha
Be kind always even no one looking at you.
"Dah!! Umechelewa ujue..nimetoka kumpatia yna2 laki moja muda siyo mrefu..dah!!ungeniwahi ....(siipendi hii tabia)..
Na hiyo tabia ya bila mimi...mara kumi nipambane mwenyewe kuliko unisaidie alafu uniletee habari za bila Mimi..mxiuuu
Ushamba wa hali ya juu[emoji23]
Wanaboa kinyama yaniDaaah pole sana jamaa yangu yani hiyo hela nilikuwa nayo muda sio mrefu sema kuna jamaa kaja hapa kaniazima jamaa mwenyewe ni yule Juma.
Anakupa pole !! Fala sana watu wa hivi!
Na asipokusaidia aseme basi..!! Kwamba alishindwa kwa vile nilimnyima hiki au kileSasa Kama kakusaidia asiseme?