Hivi ukimsaidia mtu ni lazima uchukulie ujiko?

Tabia
Ila kuna wana wengine, unaweza kuwashika mkono wakifanikiwa, utaoga hizo shit zake.. hadi ukome πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
za kixenge hizo, ina maana mtu kama huyo ana pigo za kishory
 
Kiukweli ni ushamba
Ila mi kama amenisaidia na akajisifia na kausha tu kama sijasikia kitu aibu ataipata mwenyewe.
 
Hulka ya ukuu & kuabudiwa inatupa shida waswazi
 
ko Bwana jiwe nae ni mshamba kila anachofanya atatangaza weeeee mara nimenunua drimu laina mara esijiara mara stigla joji na kwa pesa cash [emoji854][emoji854][emoji854]
 
Hata mm nikikusaidia lazma nikutangaze ili na Ww usaidie wengine uwatangaze
 
Duh pole mkuu, angekukataa ila sio kwa kejeli hivyo jamani na kazi umemtafutia Kuna watu hawana aibu dadeki
 
Duh pole mkuu, angekukataa ila sio kwa kejeli hivyo jamani na kazi umemtafutia Kuna watu hawana aibu dadeki
Yaani we acha tu niliumia kwa hilo neno lake halafu wakati huo keshalamba shavu.

Lakini nishasamehe yote na mimi nilimuomba Mungu msamaha.

Ahsante kwa pole yako Noelia
 
Yaani we acha tu niliumia kwa hilo neno lake halafu wakati huo keshalamba shavu.

Lakini nishasamehe yote na mimi nilimuomba Mungu msamaha.

Ahsante kwa pole yako Noelia
Vizuri kama ulisharuhusu yapite, wewe endelea na maisha yako
 
Hiii kotu imenishinda , sijakuzwa kumshobokea mtu 😁
 
"Dah!! Umechelewa ujue..nimetoka kumpatia yna2 laki moja muda siyo mrefu..dah!!ungeniwahi ....(siipendi hii tabia)..

Na hiyo tabia ya bila mimi...mara kumi nipambane mwenyewe kuliko unisaidie alafu uniletee habari za bila Mimi..mxiuuu
 
Daaah pole sana jamaa yangu yani hiyo hela nilikuwa nayo muda sio mrefu sema kuna jamaa kaja hapa kaniazima jamaa mwenyewe ni yule Juma.

Anakupa pole !! Fala sana watu wa hivi!

Ushamba wa hali ya juuπŸ˜‚
 
Daaah pole sana jamaa yangu yani hiyo hela nilikuwa nayo muda sio mrefu sema kuna jamaa kaja hapa kaniazima jamaa mwenyewe ni yule Juma.

Anakupa pole !! Fala sana watu wa hivi!
Wanaboa kinyama yani
 
Hata Mungu akikupa anataka umtukuze, mimi ni mfano wake.
 
Iweje wewe umesaidiwa ila haujamkumbuka huyo aliyekusaidia, humpigii hata simu, atakusema hadi ukome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…