Hivi UKIMWI upo kweli kwa wasanii wetu wa Bongo Movie na Bongo Flavor?

carnte

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2017
Posts
362
Reaction score
425
Huwa najiuliza life style ya hawa ndugu zetu ...na Mara nyingine huweka wazi kabisa maisha yao ya starehe na anasa zilizopitiliza kama ulevi...kutoka na wake wame za watu...kubadilisha wanaume ...na kupiga picha za utupu au wakati mwingine kucheza kabisa filamu za ngono

Hawa kweli UKIMWI au HIV huwa inawahusu au wana kinga wenzetu

Nawaza tuu kwa sauti[emoji124] [emoji124] [emoji124]

carnte himself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…