Hivi UKIMWI upo kweli kwa wasanii wetu wa Bongo Movie na Bongo Flavor?

Hivi UKIMWI upo kweli kwa wasanii wetu wa Bongo Movie na Bongo Flavor?

Ukimwi wa sasa una huruma sana. Me nmelala na wanawake 2 bila kujua wameathirika mmoja nliishi kae kabsa Kama miezi 3+ nazagamua nitakavyo. Kuja kujua nkapiga chini haraka sana. Nina miaka 4 mpaka sasa napima nko vizuri tu. Achana na wale wa Mara moja moja nao wengi tu. Namshukuru mungu nimetulia saiv
Sio una huruma,ukikutana na mtu anayetimia arv virus vinakuwa vimefubaa makali,vimelala
 
Mmmh aisee ila hii kitu inatisha wakuu tuombe tu Mungu atunusuru aisee

Aunt anatajwa miaka mingi ila ananona tu khaaa
 
Misosi, tizi na kuzingatia kumeza pipi. Wanatangulia wazima unashangaa wenye ngwengwe wanatamba
 
Vile vidonge ni $600, hapo ni wastani wa milioni moja na nusu....sidhani kama wanayo hiyo nguvu.

Na pia sio 100% hakikisho la kuzuia/kudhibiti wale jamaa, ila hutumika tu kama tahadhari in case jamaa wameingia.
Vile si unapewa bure tu hospitali! Mi mwenyewe ninavyo napiga hapa leo siku ya 14. Na uzuri vya siku hivi sio vikali, havileti mawenge kama vya zamani maana nishakunywaga miaka minne iliyopita.

Cha msingi ni kwenda hospitali ya serikali, ila kama Mwananyamala wanataka ulipie 7,000 ya kumwona daktari eti! Nikawachomoleaga nikaenda Magomeni.
 
Back
Top Bottom