Hivi UKIMWI upo kweli kwa wasanii wetu wa Bongo Movie na Bongo Flavor?

Hivi UKIMWI upo kweli kwa wasanii wetu wa Bongo Movie na Bongo Flavor?

Isi kudanganye mtu, iyo kitu ipo tena sanaaaaa!! Je, kabla ya kesi za mafisadi uliwahi kusikia magonjwa ya mabillionaire hao? Lakini leo inakuwa eti atakufa asipoenda hospitalini kumuona daktari. Itakuwa vivyo hivyo kwa hao nao. Pia kwasababu pesa wanayo basi vidonge vyakupunguza ukaliwake ndo chakula chao kaka hata usitishwe na chochote mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatumia after sex, before 72 hours pills.

Utawaona kila kiwanja lakini hawafi kwa ngwengwe.

Wewe kajaribu hiyo utarudi na majibu mubashara taa za ngwengwe zinawaka.
Vile vidonge ni $600, hapo ni wastani wa milioni moja na nusu....sidhani kama wanayo hiyo nguvu.

Na pia sio 100% hakikisho la kuzuia/kudhibiti wale jamaa, ila hutumika tu kama tahadhari in case jamaa wameingia.
 
Huwa najiuliza life style ya hawa ndugu zetu ...na Mara nyingine huweka wazi kabisa maisha yao ya starehe na anasa zilizopitiliza kama ulevi...kutoka na wake wame za watu...kubadilisha wanaume ...na kupiga picha za utupu au wakati mwingine kucheza kabisa filamu za ngono

Hawa kweli UKIMWI au HIV huwa inawahusu au wana kinga wenzetu

Nawaza tuu kwa sauti[emoji124] [emoji124] [emoji124]

carnte himself
If you consider acquiring knowledge to be diffcult then try ignorance
 
Mbona wengi wanaupta hiv sana sema tu wanazingatia dawa kwa wakt sana ndo maana inaonekana wao hawapat lkn weng wana pata hiv sema wanazingatia dawa san
 
Ukimwi wa sasa una huruma sana. Me nmelala na wanawake 2 bila kujua wameathirika mmoja nliishi kae kabsa Kama miezi 3+ nazagamua nitakavyo. Kuja kujua nkapiga chini haraka sana. Nina miaka 4 mpaka sasa napima nko vizuri tu. Achana na wale wa Mara moja moja nao wengi tu. Namshukuru mungu nimetulia saiv
 
Back
Top Bottom