Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Site ya ujenzi au? Kama ni site ya ujenzi mbona pumbavu ni neno jepesi sana.Wakuu ni dharula, naomba msaada tafadhali
Nipo site, nisaidieni, naweza kumwambia mtu pumbavu na asikasirike na ajiskie vizuri?
Unamwambia ....👉dini ya kweli kwa Mwenyezi Mungu ni uislamu . Hspo utaona mpumbavu meno yote yapo njeWakuu ni dharula, naomba msaada tafadhali
Nipo site, nisaidieni, naweza kumwambia mtu pumbavu na asikasirike na ajiskie vizuri?
Acha upuuziWakuu ni dharula, naomba msaada tafadhali
Nipo site, nisaidieni, naweza kumwambia mtu pumbavu na asikasirike na ajiskie vizuri?
wewe jamaa uislam umekukosea nini? Ipo siku yaja utakuja kujutia hizi dhihaka zakoUnamwambia ....👉dini ya kweli kwa Mwenyezi Mungu ni uislamu . Hspo utaona mpumbavu meno yote yapo nje
Naunga mkono hojaJamiiForums anzisheni Jukwaa la watoto.
Wewe Binti toka uachike kwa tabia yako ya kuchepuka na mabodaboda kwa yule mumeo mwislamu,basi ukaamua hasira zako kuzihamishia kwenye uislamu,Unamwambia ....👉dini ya kweli kwa Mwenyezi Mungu ni uislamu . Hspo utaona mpumbavu meno yote yapo nje
Huyo Binti alibadili dini akaolewa na muislamu,kwa tabia zake chafu akaja kuachika,wewe jamaa uislam umekukosea nini? Ipo siku yaja utakuja kujutia hizi dhihaka zako
Naona Haina cha upole asee!