Itarudi na wewe utakatwa kama kawaida lazima ukadaiSalam..
Sijawahi kujaribu au kama kuna mtu imewahi kumtokea akachelewa kuitoa hela baada ya kutoka je itadumbukia tena ndani au itakaa hapo hapo itaganda tu inasubiria...
Ingekuwa na mahesabu yanarudi vile vile basi ningesema wacha tu bandari apewe mzungu.😁itarudi na wewe utakatwa kama kawaida
lazima ukadai
Bado hapo pagumu hapajaeleweka ..hela ilitoka?Sina hakika ila ikirudi lazima itakwenda kuongezwa kwenye akaunti.
Nasema hivyo kwa sababu kuna siku nilikuwa natoa, ATM ikawa inahesabu hela then inafungua kamlango na haitoi kitu halafu inafunga inahesabu tena.
wakataji huo napata msg 2, ya kutoa hela na ya kurudishwa hela kwenye akaunti.
Sina hakika ila ikirudi lazima itakwenda kuongezwa kwenye akaunti.
Nasema hivyo kwa sababu kuna siku nilikuwa natoa, ATM ikawa inahesabu hela then inafungua kamlango na haitoi kitu halafu inafunga inahesabu tena.
wakataji huo napata msg 2, ya kutoa hela na ya kurudishwa hela kwenye akaunti.
Hata sasa hv ukienda utaikutaSalam..
Sijawahi kujaribu au kama kuna mtu imewahi kumtokea akachelewa kuitoa hela baada ya kutoka je itadumbukia tena ndani au itakaa hapo hapo itaganda tu inasubiria.
Na kama ikirudi mahesabu yatakuwaje kwenye account yatajirudi tena kama awali au balance iatapungua.
Changamsheni kichwa kidogo.
Nahisi hela itarudi ndani. Mfano BANCABC ukitoa hela ukaomba na risiti, ukichelewa kuchukua hiyo risiti, inarudisha ndani. Sasa itakuwa kwa hela!Bado hapo pagumu hapajaeleweka ..hela ilitoka?
Naona unatamba na code za kugooglesoma hii kitu c.
ukiona kuna neno rimerudisha sawa
#include
#include
unsigned long amount=25000, deposit, withdraw;
int choice, pin, i;
char transaction ='y';
void main()
{
clrscr();
while (pin != 1097)
{
printf("ENTER YOUR PIN NUMBER: ");
scanf("%d", &pin);
if (pin != 1097)
printf("PLEASE ENTER VALID PASSWORD\n");
}
do
{
printf(" Welcome to ATM Service \n");
printf("1. Check Balance\n");
printf("2. Withdraw Cash\n");
printf("3. Deposit Cash\n");
printf("4. Quit\n");
printf("\n\n");
printf("Enter your choice: ");
scanf("%d", &choice);
switch (choice)
{
case 1:
printf("\n YOUR BALANCE =Rs.%lu ", amount);
break;
case 2:
printf("\n ENTER THE AMOUNT: ");
scanf("%lu", &withdraw);
if (withdraw % 100 != 0)
{
printf("\n PLEASE ENTER THE AMOUNT IN MULTIPLES OF 100");
}
else if (withdraw >(amount - 1000))
{
printf("\n INSUFFICENT BALANCE");
}
else
{
amount = amount - withdraw;
printf("\n\n PLEASE COLLECT YOUR CASH");
printf("\n YOUR CURRENT BALANCE =RS.%lu", amount);
}
break;
case 3:
printf("\n ENTER THE AMOUNT: ");
scanf("%lu", &deposit);
hakuna GPT hapo ni free sorce code teyari unaweza kufanya .Naona unatamba na code za kugoogle
Iheshimiwe chatGPT
Kuna siku natoa pesa, kulia kwangu nasikia mashine ina beep ule mlio wa kuwa pesa imetoka, mimi nikawa bize na ATM yangu, mlio ukawa unaendelea tu, nikajisemea ngoja nichungulie, lahaula naona pesa shaaaa zinarudi ndani. Nahisi mteja mwenye haraka alitoa pesa sasa akaona pesa hazitoki akamua kusepa. Kumbuka inaanza kutoka kadi then mashine inahesabu pesa ndio zintoka.Salam..
Sijawahi kujaribu au kama kuna mtu imewahi kumtokea akachelewa kuitoa hela baada ya kutoka je itadumbukia tena ndani au itakaa hapo hapo itaganda tu inasubiria.
Na kama ikirudi mahesabu yatakuwaje kwenye account yatajirudi tena kama awali au balance iatapungua.
Changamsheni kichwa kidogo.
Itakuwa NMB hii, mimi pia ilinifanyia unyama huu na nilikuwa na shida sana na hela.Daaa umenikumbusha...
Kuna siku nilienda kutoa hela,
Mashine inahesabu weee, ikimaliza inafunguka halafu hela haiji, kama mara mbili hivii,
Kwenye simu msg imekuja umetoa kiasi flana cha helaa...
Nje kuna foleni, nikisema niende ndani jeee ikitoka chap wahuni wakiiwahi?(nyuma kumesimama jamaa flan kavu kweli)
Nikamuambia mlinzi naomba uzuie hapa asikanyage mtuu...., watumie mashine nyingne.
Kufika ndani wakanirekebishia, ila aliniambia haiwezekani kutoka...
Nikajisemea haya ni maneno tuu,
Nikamwambia we maliza kazi yako nitoke chapi hii ni pesa dada..., akatabasamu nikakwapua kadi yangu nikatoka.
Sawa banasoma hii kitu c.
ukiona kuna neno rimerudisha sawa
#include
#include
unsigned long amount=25000, deposit, withdraw;
int choice, pin, i;
char transaction ='y';
void main()
{
clrscr();
while (pin != 1097)
{
printf("ENTER YOUR PIN NUMBER: ");
scanf("%d", &pin);
if (pin != 1097)
printf("PLEASE ENTER VALID PASSWORD\n");
}
do
{
printf(" Welcome to ATM Service \n");
printf("1. Check Balance\n");
printf("2. Withdraw Cash\n");
printf("3. Deposit Cash\n");
printf("4. Quit\n");
printf("\n\n");
printf("Enter your choice: ");
scanf("%d", &choice);
switch (choice)
{
case 1:
printf("\n YOUR BALANCE =Rs.%lu ", amount);
break;
case 2:
printf("\n ENTER THE AMOUNT: ");
scanf("%lu", &withdraw);
if (withdraw % 100 != 0)
{
printf("\n PLEASE ENTER THE AMOUNT IN MULTIPLES OF 100");
}
else if (withdraw >(amount - 1000))
{
printf("\n INSUFFICENT BALANCE");
}
else
{
amount = amount - withdraw;
printf("\n\n PLEASE COLLECT YOUR CASH");
printf("\n YOUR CURRENT BALANCE =RS.%lu", amount);
}
break;
case 3:
printf("\n ENTER THE AMOUNT: ");
scanf("%lu", &deposit);
Ukipata baada ya siku ngapUkichelewa kuichukua inarudi ndani
Ishawahi kunitokea,nikaenda ndani wakanipa form nikqjqza ndipo ikaingizwa kwenye account