Hivi ule Mpango wa Israel kujaza maji kwenye mahandaki kule Gaza uliishia wapi?

😄 Hao kwa story utawaweza walidhani hio tisha nyau wanawatisha Hamasi, yani Israel na US wakiongea we cheka tu wanadhani dunia ya leo ile ya zamani wakisema kitu watu watawamini.

Mara hi wamekuja na mpya eti wamewaokoa maiti walio tekwa na Hamasi kwanza wamewajua vipi yani miezi saba maiti umtambue bila ya uchunguzi hi kali aisay.

Hamasi wenyewe wanawauliza hao maiti mmewakuta wapi mbona sisi hatuwatambui au ni wanajeshi wao walio kufa.

Hi ni jana aisay Israel wanamalizwa

View: https://youtu.be/t-ORbfHtoQE?si=UMpN0-ebJeh6131x

adui anarusha mawe na wewe unajibu kwa mawe , adui anachukua mishale wewe unataka niendelee kutumia mawe tu ? adui anaanza kutumia silaha ila wew unataka nitumie mawe bado , Yaani adui atoke mashimon akimbilie sehem nyingine ( Rafah ) kujificha wewe unataka niendelee kujaza maji kwenye mashimo , Ndio maana hatuez hata saini mikataba kama Feisali na mama Yenu Sa100, akili sufuriii

Kila mbinu inapiganwa kulingana na mbinu za adui anavyokuja , walikuwa mashimon wametoka unataka niendelee kujaza maji mashimoni ile nigundue nini ?
 
Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail?

Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana Viongozi wanagombana kila kukicha Serikali imeparaganyika Waziri Mkuu Netanyahu kajifungia ndani wiki sasa haongei.

Hamas nao wamechachamaa huko Gaza IDF wanadondoshwa kama kuku wenye kideri. Hezbollah nao hawapoi wanawasha moto hujo North balaa .
adui anarusha mawe na wewe unajibu kwa mawe , adui anachukua mishale wewe unataka niendelee kutumia mawe tu ? adui anaanza kutumia silaha ila wew unataka nitumie mawe bado , Yaani adui atoke mashimon akimbilie sehem nyingine ( Rafah ) kujificha wewe unataka niendelee kujaza maji kwenye mashimo , Ndio maana hatuez hata saini mikataba kama Feisali na mama Yenu Sa100, akili sufuriii
Kila mbinu inapiganwa kulingana na mbinu za adui anavyokuja , walikuwa mashimon wametoka unataka niendelee kujaza maji mashimoni ile nigundue nini ?
 
adui anarusha mawe na wewe unajibu kwa mawe , adui anachukua mishale wewe unataka niendelee kutumia mawe tu ? adui anaanza kutumia silaha ila wew unataka nitumie mawe bado , Yaani adui atoke mashimon akimbilie sehem nyingine ( Rafah ) kujificha wewe unataka niendelee kujaza maji kwenye mashimo , Ndio maana hatuez hata saini mikataba kama Feisali na mama Yenu Sa100, akili sufuriii
Kila mbinu inapiganwa kulingana na mbinu za adui anavyokuja , walikuwa mashimon wametoka unataka niendelee kujaza maji mashimoni ile nigundue nini ?
Samia anahusikaje hapa?
 
Back
Top Bottom