Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha mzee founders share lazima niwepo ni swala tu la kujua hao wengne tunawapa ngap ngap kuna viumbe vibakie kuwa secretaries tu maana tukiwapa hata share moja watajiona wanamilik kampuni[emoji3][emoji3][emoji3]... then mshindo anaanza kuwagawia Bonny na wenzake
Mzee siunajua kampuni yoyote suala ni maximization of profit sasa strikers wote tukicheza namba moja kampuni itakufa mapema..Ha ha ha ha ha mzee founders share lazima niwepo ni swala tu la kujua hao wengne tunawapa ngap ngap kuna viumbe vibakie kuwa secretaries tu maana tukiwapa hata share moja watajiona wanamilik kampuni
Cc Asprin kwa taarifa zaid
Mmmmh...ooyeah.... it's Smart911 all day
Lalalaaaaa lalalaaa lalalalaaaaaa
Lalalaaa laaalaaaaa
His name is Smart911
All you have seen my Smart911 .....
So sweet and fine like .......
He come in the nights....
...................
So sweet and fine like.....
Don't ever touch my Smart911
I want nobody but youuuu Smart911
Ha ha ha ha mshenz muhun wewe dag kwahyo recruitment yote ipitie kwako dadekii c kila sketi utakua ushaipitia kabla hujaajirMzee siunajua kampuni yoyote suala ni maximization of profit sasa strikers wote tukicheza namba moja kampuni itakufa mapema..
Wewe inabidi basi uwe strategist swahiba awe CEO mimi nitakuwa HR new enrollment ianzie kwangu
Ha ha ha ha mshenz muhun wewe dag kwahyo recruitment yote ipitie kwako dadekii c kila sketi utakua ushaipitia kabla hujaajir
Raimundo tutamuweka kitengo cha finance atafute vitoto vyenye cpa avilete
Wewe sisi tutatafuta best candidate tunawajua wakina nan wazur kwenye hyo sector then wewe unafanya final asssesment from our list then unaajir unawaleta kwenye department yetu ya Finance and Strategic PlansHaha hahaha
Hiyo si kazi ya afisa mwajiri mzee! Au unataka kunizunguka na Raimundo
Ha ha ha ha List ntakayomplekea nahakikisha hatii mkono yeye atadili na hao wa department nyengne from which itafahamika tuHa ha ha, nikiwa kitengo hicho inabidi interns walipwe cash siyo kuwapelekea kwenye account.
Na cashier wa hiyo cash nakuwa mwenyewe.
Daby kakuwahi kitengo muhimu sana.
[emoji16][emoji16]mzee hizo hujuma kampuni itakufaaaWewe sisi tutatafuta best candidate tunawajua wakina nan wazur kwenye hyo sector then wewe unafanya final asssesment from our list then unaajir unawaleta kwenye department yetu ya Finance and Strategic Plans
Aseeh nyie mnataka kuleta masihara na maslahi ya wafanyakazi. HR mfanyakazi akihujumiwa mimi ndiye wa kuulizwaMwajiri anapelekewa CV tena anaambiwa mpigie huyo aje kwenye interview kesho.
Mara anaambiwa mwandalie contract huyo aje Finance.
Ha ha ha ha sio hujuma sis ndio tutakuletea wengiii ambao ni best then u pick fro the best[emoji16][emoji16]mzee hizo hujuma kampuni itakufaaa
Ha ha ha ha kama nakuona sketi zitakavyokuwa ofsin kwako kila mtu na department yakeAseeh nyie mnataka kuleta masihara na maslahi ya wafanyakazi. HR mfanyakazi akihujumiwa mimi ndiye wa kuulizwa
Hivi ingekuwaje kusingekuwa na week end!!