Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

[emoji3][emoji3][emoji3]... then mshindo anaanza kuwagawia Bonny na wenzake
Ha ha ha ha ha mzee founders share lazima niwepo ni swala tu la kujua hao wengne tunawapa ngap ngap kuna viumbe vibakie kuwa secretaries tu maana tukiwapa hata share moja watajiona wanamilik kampuni

Cc Asprin kwa taarifa zaid
 
Mzee siunajua kampuni yoyote suala ni maximization of profit sasa strikers wote tukicheza namba moja kampuni itakufa mapema..

Wewe inabidi basi uwe strategist swahiba awe CEO mimi nitakuwa HR new enrollment ianzie kwangu
 
Mmmmh...ooyeah.... it's Smart911 all day

Lalalaaaaa lalalaaa lalalalaaaaaa
Lalalaaa laaalaaaaa
His name is Smart911

All you have seen my Smart911 .....
So sweet and fine like .......
He come in the nights....
...................
So sweet and fine like.....

Don't ever touch my Smart911

I want nobody but youuuu Smart911

mahondaw
I Promise You mahondaw , I'll Keep Myself Up for you, remain The Same man always for you, the man you fell In Love With...
When You Come Home Tap Me On My Shoulder, I'll Roll Over
mahondaw I Heard You, I'm Here To Serve You (I'm Lovin It, I'm Lovin It)
If It's Love You Need, To Give It Is My Joy
All I Want To Do, Is love you even more...

mahondaw
That's The Least I Can Do,
Through The Good,
The Bad (Through The Bad)
The Ups And The Downs,
I'll Still Be Here For You

Cause You're Beautiful,
I Love The Way You Are,
Your Wish Is My Command,
Your Heart,
So Pure Your Love Shines Through,
So Much Of Me Is You...

# Hugs and kisses on your sweet lips. #
 
Mzee siunajua kampuni yoyote suala ni maximization of profit sasa strikers wote tukicheza namba moja kampuni itakufa mapema..

Wewe inabidi basi uwe strategist swahiba awe CEO mimi nitakuwa HR new enrollment ianzie kwangu
Ha ha ha ha mshenz muhun wewe dag kwahyo recruitment yote ipitie kwako dadekii c kila sketi utakua ushaipitia kabla hujaajir
Raimundo tutamuweka kitengo cha finance atafute vitoto vyenye cpa avilete
 
Ha ha ha ha mshenz muhun wewe dag kwahyo recruitment yote ipitie kwako dadekii c kila sketi utakua ushaipitia kabla hujaajir
Raimundo tutamuweka kitengo cha finance atafute vitoto vyenye cpa avilete

Ha ha ha, nikiwa kitengo hicho inabidi interns walipwe cash siyo kuwapelekea kwenye account.

Na cashier wa hiyo cash nakuwa mwenyewe.

Daby kakuwahi kitengo muhimu sana.
 
Haha hahaha
Hiyo si kazi ya afisa mwajiri mzee! Au unataka kunizunguka na Raimundo
Wewe sisi tutatafuta best candidate tunawajua wakina nan wazur kwenye hyo sector then wewe unafanya final asssesment from our list then unaajir unawaleta kwenye department yetu ya Finance and Strategic Plans
 
Ha ha ha, nikiwa kitengo hicho inabidi interns walipwe cash siyo kuwapelekea kwenye account.

Na cashier wa hiyo cash nakuwa mwenyewe.

Daby kakuwahi kitengo muhimu sana.
Ha ha ha ha List ntakayomplekea nahakikisha hatii mkono yeye atadili na hao wa department nyengne from which itafahamika tu
 
Wewe sisi tutatafuta best candidate tunawajua wakina nan wazur kwenye hyo sector then wewe unafanya final asssesment from our list then unaajir unawaleta kwenye department yetu ya Finance and Strategic Plans
[emoji16][emoji16]mzee hizo hujuma kampuni itakufaaa
 
Mwajiri anapelekewa CV tena anaambiwa mpigie huyo aje kwenye interview kesho.

Mara anaambiwa mwandalie contract huyo aje Finance.
Aseeh nyie mnataka kuleta masihara na maslahi ya wafanyakazi. HR mfanyakazi akihujumiwa mimi ndiye wa kuulizwa
 
Ha ha ha ha List ntakayomplekea nahakikisha hatii mkono yeye atadili na hao wa department nyengne from which itafahamika tu
[emoji23][emoji23][emoji23]....
 
Back
Top Bottom