Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

Wrong Tena,
Mwanamke ana matundu nane? Pale chini ukimkagua mwanamke vizuri utaona Kuna matundu matatu.
Mchunguze waif utanishukuru.
Ila tutakubalia jambo moja chief,, yapo katika uke wa mwanamke
 
Najua mawingu na atmosphere, mbingu ni dhana
Kuna mambo unaweza usiyaone kwa nacho lkn yapo,,,, mfano upepo au umeme,, tunaona tu ishara zake

Mbingu Saba iko kidini zaidi najua mambo ya imani ni magumu tuachane nayo
 
Saba Cha mtoto.
Mambo iko arobaini.
Za mwizi arobaini,
Mwanamke akijifungua siku ya arobaini ndio mashine inarudi katika Hali ya kawaida na unaweza kupakua mzigo.
Tunafunga siku arobaini.
Tangu jumatano ya majivu mpaka pasaka Ni siku arobaini.
Nakuongezea na nabii Mussa aliambiwa afunge siku arobaini ili apewe ujumbe mzito

Wanaisrael walihangaika jangwani siku arobaini

Je arobaini inawakilisha nini?
 
Bi hajara alipoachwa na Nabii Ibrahim kule bonde la Maka akiwa na mwanae Ismail alizunguka sehemu safwa na Marwa mara saba kutafuta maji ya mwanawe mpaka pale Ismail alipopiga na mguu chini na chem chem ikaanza kububujika

Tukio hilo la ibada hufanywa kama kumbukumbu.
 
Kiama kitatokea siku ya ijumaa na unasema ijumaa ni siku ya saba kwa kalenda ipi?
Kiislam siku ya kwanza ni jumapili Yaum li ahad.
Ijumaa inakuwa siku ya sita.
Na y
Siku ya saba ni jumamosi ambayo ni Yaum sabat.hiyo ya kiama ijumaa ambayo ni siku ya saba ni kwa minajili ipi?
 
Kwenye nyonyo tena ni tundu tisa
Pale zipo tundu nyingi na yapo mawili, damu iliyo kwenye mfumo wa maziwa hayatoki katikati yakatoka pembeni mwa Ile chuchu nyonya siku moja yanatoka mafuta mafuta Si katikati pembeni mule
 
ROnaldo ni namba 7 aliyekamilika.
Siku ya 7 Mungu alipumzika kuumba dunia.
Siku ya 7 7 ni ya wafanyabiashara.
Wanga na walozi timing yao huanza saa 7
Saba yenyewe ikiandikwa imebong'oa.
 
Mungu alipumzika siku ya 7
Mabara yako 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…