Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

Kuna mbingu Saba
Bahari Saba
Ardhi Saba
Binadamu ana matundu Saba
Kuna siku Saba Katika wiki
Waislamu wanazunguka mara Saba kule Kaaba
Kiama kitatokea siku ya Saba ambayo ni Ijumaa
Waislamu wakiswali wanasujudu kwa viungo Saba,,kwa maana paji la uso na pua moja, vitanga viwili vya mikono, magoti mawili na ncha mbili za vidole vya miguu jumla viungo Saba
Waislamu wanasoma dua maalumu ndani ya swala ina ayah saba

Malizia mwenyewe na mambo mengine unayoyajua

Namba Saba ni UKAMILISHO WA KITU.

Ni hayo tu!
Simba alimfunga horoya saba
 
Na siku ya saba ndo Sabato
 
Hata kwenye ngozi kuna matundu mengi madogomadogo yanayotoa jasho. Aidha, machoni kuna matundu ya kutolea matongotongo na machozi.
 
Kuna mbingu Saba
Bahari Saba
Ardhi Saba
Binadamu ana matundu Saba
Kuna siku Saba Katika wiki
Waislamu wanazunguka mara Saba kule Kaaba
Kiama kitatokea siku ya Saba ambayo ni Ijumaa
Waislamu wakiswali wanasujudu kwa viungo Saba,,kwa maana paji la uso na pua moja, vitanga viwili vya mikono, magoti mawili na ncha mbili za vidole vya miguu jumla viungo Saba
Waislamu wanasoma dua maalumu ndani ya swala ina ayah saba

Malizia mwenyewe na mambo mengine unayoyajua

Namba Saba ni UKAMILISHO WA KITU.

Ni hayo tu!
Saa moja iwe usiku au asubuhi ni Namba 7
 
Pua-2
maskio-2
mdomo-1
uume-1
makalioni-1

Totally =7
Hiyo ni kwa binadamu wa kiume na wa kike Au wa kiume peke yake,vipi kuhusu binadamu wa kike mim huwa najua anamatundu nane kwa kuzingatia hoja yako umehesabu sehem ya kutolea mkojo kwa mwanaume pia mwanamke anayo ya kutolea mkojo
 
Hoja ni kwamba asili yake yapo kwenye uke,,, kwahiyo ni moja
 
Siku ni illusion mkuu, leo ni jumatatu lakini hakuna kiashiria chochote tangible or intangible kuonyesha leo Jumatatu,
Kwa akili hii kubwa unafanya nini kinyerezi mwisho ukifukuzia sketi na beer ya buku jero kiongozi , nchi inakuitaji kule wizara ya fedha....abstract thinking kali sana hii

Back
Top Bottom