Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

Simba alimfunga horoya saba
 
Na siku ya saba ndo Sabato
 
Hata kwenye ngozi kuna matundu mengi madogomadogo yanayotoa jasho. Aidha, machoni kuna matundu ya kutolea matongotongo na machozi.
 
Saa moja iwe usiku au asubuhi ni Namba 7
 
Thanks for appreciations mkuu Smart911 ana ujinga ujinga wake fulani hivi dahhh basi mi hoiii😁!
Barikiwa sana .i
Lkn maadam ujinga huo haukafanyi uwe mbali nae basi freesh to,,, honestly nawapenda sana
 
Pua-2
maskio-2
mdomo-1
uume-1
makalioni-1

Totally =7
Hiyo ni kwa binadamu wa kiume na wa kike Au wa kiume peke yake,vipi kuhusu binadamu wa kike mim huwa najua anamatundu nane kwa kuzingatia hoja yako umehesabu sehem ya kutolea mkojo kwa mwanaume pia mwanamke anayo ya kutolea mkojo
 
Hoja ni kwamba asili yake yapo kwenye uke,,, kwahiyo ni moja
 
Siku ni illusion mkuu, leo ni jumatatu lakini hakuna kiashiria chochote tangible or intangible kuonyesha leo Jumatatu,
Kwa akili hii kubwa unafanya nini kinyerezi mwisho ukifukuzia sketi na beer ya buku jero kiongozi , nchi inakuitaji kule wizara ya fedha....abstract thinking kali sana hii
Siku ni illusion mkuu, leo ni jumatatu lakini hakuna kiashiria chochote tangible or intangible kuonyesha leo Jumatatu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…