Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
- Thread starter
-
- #21
Dunia ina changamoto sana, Kuna sister angu mmoja sasa hivi hasikii kabisa...amepata shida hiyo mwaka jana baada tu ya kuhitimu elimu ya juu.Mimi kuna mdada nimekutana nae ni bubu halafu kiziwi. Yaani nilikua sijui kua mdada mzuri kama yule anaweza kua bubu🙄 kweli Mungu hakupi vyote
Wapo mbona??!Wakuu,
Habari za muda huu......, nyie wapenda shikamoo hamlambi shikamoo yangu hata kwa dawa...
Nisikuchosheni,
Kuna kitu kidogo tu napenda tujadili kidogo... hivi wewe umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye kigugumizi? Katika maisha yangu yote niliyoishi (sijala chumvi nyingi, ni kama pakiti tatu na nusu tu hivi) sijawahi kukutana na mwanamke mwenye kigugumizi.
Mimi kama mwanaume mwenye kigugumizi napata hasira kuona hadi sasa sijawahi kukutana na mwanamke mwenye kigugumizi.
Kwa nini tuteseke sisi tu?
Hivi kweli kuna wanawake kwenye kigugumizi kweli?
Wanafananaje?
Uzi tayari...
Ebu nikioneMimi ninacho
HayaEbu nikione
Njoo ukutane namiWakuu,
Habari za muda huu......, nyie wapenda shikamoo hamlambi shikamoo yangu hata kwa dawa...
Nisikuchosheni,
Kuna kitu kidogo tu napenda tujadili kidogo... hivi wewe umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye kigugumizi? Katika maisha yangu yote niliyoishi (sijala chumvi nyingi, ni kama pakiti tatu na nusu tu hivi) sijawahi kukutana na mwanamke mwenye kigugumizi.
Mimi kama mwanaume mwenye kigugumizi napata hasira kuona hadi sasa sijawahi kukutana na mwanamke mwenye kigugumizi.
Kwa nini tuteseke sisi tu?
Hivi kweli kuna wanawake kwenye kigugumizi kweli?
Wanafananaje?
Uzi tayari...
Nimekutumia voice note
Ni mazoezi ya kuongea, jifunze kuongea taratibu weka pose ukiona unakwama. Imenichukua muda mrefu sana kukipunguza, sasa hivi sikifikirii sana kama zamani yaani ilikuwa ikibidi niende sehemu kama ni kwenye maofisi au sehemu ya muhimu lazima nikose usingizi kuwaza nitaongeaje.Unafanyaje mkuu...yaani kuna dawa au mazoezi?
Umenitumia voice note kwa njia ipi mkuu?Nimekutumia voice note
Duhh poleehh myyNi mazoezi ya kuongea, jifunze kuongea taratibu weka pose ukiona unakwama. Imenichukua muda mrefu sana kukipunguza, sasa hivi sikfikirii sana kama zamani yaani ilikuwa ikibidi niende seheme kama ni kwenye maofisi au sehemu ya muhimu lazima nikose usingizi kuwaza nitaongeaje.
Siiku hizi Hadi nasahau kama nina kigugumizi ila huwa kinakuja nikiwa nina hasira au uwoga .
Sitasahau nilivyoshindwa kuongea hata neno moja kwenye interview ya Zantel..nilinyanyuka na kuondoka.
Hayo ni mazoa ambayo yeye kajizoeshaDuh, kigugumizi kinatesa sana....kuna huyo mwamba hadi apige kitu ndo aongee...kwa hiyo akiwa anaongea unakaa nae mbali kidogo, la sivyo utakula mabanzi ya maana....
Thanks. Nilivyokuwa mdogo ilikuwa balaa zaidi nikitaka kuongea hadi nipige mguu chini, yaani nitahangaika hapo utanionea huruma, pumzi sijui nini inakata kabisa nashindwa kuongea. Now kipo ila nimeweza kumanage kuongea kwa pozi, ila nikiwa na hasira au uwoga kinakuja kwa kasi.Duhh poleehh myy
Ni ulikua hivyo tangu mdogo ama kilikujaje and how does it feel?..like pumzi inakata au ni ulimi hausogei?
I cant imagine.,