Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
- Thread starter
- #21
Dunia ina changamoto sana, Kuna sister angu mmoja sasa hivi hasikii kabisa...amepata shida hiyo mwaka jana baada tu ya kuhitimu elimu ya juu.Mimi kuna mdada nimekutana nae ni bubu halafu kiziwi. Yaani nilikua sijui kua mdada mzuri kama yule anaweza kua bubu🙄 kweli Mungu hakupi vyote
Sasa hivi anajifunza kuishi katika mtindo mpya wa maisha...inasikitisha sana.