Naomba namba ya mdogo wakoNawafahamu wawili wanavyo, ila ni vyakawaida, sio vikali sana.
1. Kimemfanya anaongea haraka, sometimes haeleweki.
2. Kimemfanya anaongea taratibu. Maskini mdogoangu,
anaweza ongea af akanyamaza ghafla ukadhani kamaliza,
ukianza kuongea nae anarudi ulingoni. Huyu hafanyi
kukwama kwama kwa maneno, pumzi inakwambia kifuani
kabla hajayasema, so kikimshika anakua kimya kabisa
kwa sekunde kadhaa.
Yaweza kua ni anxiety ndiyo imesababisha hivyoThanks. Nilivyokuwa mdogo ilikuwa balaa zaidi nikitaka kuongea hadi nipige mguu chini, yaani nitahangaika hapo utanionea huruma, pumzi sijui nini inakata kabisa nashindwa kuongea. Now kipo ila nimeweza kumanage kuongea kwa pozi, ila nikiwa na hasira au uwoga kinakuja kwa kasi.
Ain't gonna happenNaomba namba ya mdogo wako
Hiyo njia ya kuongea taratibu inanisaidia sana, yaani naongea kama vile nimechoka kuongeaππ. Kumbe nikikazana hivi kitaisha chenyewe sio..Ni mazoezi ya kuongea, jifunze kuongea taratibu weka pose ukiona unakwama. Imenichukua muda mrefu sana kukipunguza, sasa hivi sikfikirii sana kama zamani yaani ilikuwa ikibidi niende seheme kama ni kwenye maofisi au sehemu ya muhimu lazima nikose usingizi kuwaza nitaongeaje.
Siiku hizi Hadi nasahau kama nina kigugumizi ila huwa kinakuja nikiwa nina hasira au uwoga .
Sitasahau nilivyoshindwa kuongea hata neno moja kwenye interview ya Zantel..nilinyanyuka na kuondoka.
Why tho. IG handle?Ain't gonna happen
InawezekanaYaweza kua ni anxiety ndiyo imesababisha hivyo
How, maana tupo wengikigugumii mbona ukiamua unapona
Acha kutunanga aisee, anakupigaje banzi??Duh, kigugumizi kinatesa sana....kuna huyo mwamba hadi apige kitu ndo aongee...kwa hiyo akiwa anaongea unakaa nae mbali kidogo, la sivyo utakula mabanzi ya maana....
Nilikesha kwenye internet kusoma jinsi ya kuongea na kukipunguza. Nashukuru imenisaidia sana.Hiyo njia ya kuongea taratibu inanisaidia sana, yaani naongea kama vile nimechoka kuongea[emoji3][emoji3]. Kumbe nikikazana hivi kitaisha chenyewe sio..
Ila kama usemavyo, nikiwa na hasira kinakuja kwa kasi kiasi nashindwa hata kuongea. Ila utaona jicho jililivyoiva kama nyanya...
Ili apate 'stata' ya kutamka maneno.... zamani tukiwa wadogo tulikuwa tunamtania, akianza kuongea mnamwambia "subiri", mnamsogeza kwenye mti au ukuta au kitu chochote anachoweza kukipiga ili aweze kuongea then mnamwambia "haya, endelea sasa"πππAcha kutunanga aisee, anakupigaje banzi??
Wewe una afadhali huyo jamaa yangu tusi linatoka lizima lizima ila wakat mnaongea nae inabidi uwe na muda wakumsikiliza vinginepo utachelewa unapoendaMimi nikiongea slow afadhali, nikiongeza spidi tu...ndo basi tenaππ
PiemuUmenitumia voice note kwa njia ipi mkuu?
[emoji3][emoji3] wabaya sana nyieIli apate 'stata' ya kutamka maneno.... zamani tukiwa wadogo tulikuwa tunamtania, akianza kuongea mnamwambia "subiri", mnamsogeza kwenye mti au ukuta au kitu chochote anachoweza kukipiga ili aweze kuongea then mnamwambia "haya, endelea sasa"[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sasa hivi naona kinapungua.
π π π π πKipindi nipo chuo nilikuwa na rafiki mwenye kigugumizi..akiongea Mara ya kwanza Kama hukumuelewa ukamuuliza tena basi atapiga kelele hiyo..anamalizia na neno "nyama weeh"..nilikuwa nacheka Sana .
π π π π[emoji3][emoji3] wabaya sana nyie
πππππ π π π π
Aiseeee.....