Its very true na haka katundu ndo kadekaji hasa sasa unabaki kushangaa.
Huyu sasa chautundu ndo nilitakiwa niambiwe nampendelea.
🤣🤣
Manara mwanaume suruali tu na hana akili wala ethics za kazi yake ila vile bongo uswahili uswahili wanaona sifa za bure.Kilichomtoa Simba ni ugomvi wake na Babra, sasa alituma audio clip mitandaoni kumchamba Babra, kuna kipande kwenye hiyo clip anamwabia Babra, "I promisee you" ...kwamba atamkomesha.. [emoji3]
Hupendi mpira?
Back to business, si unanifungulia PM eti eeh?
Kumbe sometimes mnatunyima mzigo mkisikilizia reaction?[emoji23][emoji23][emoji23]na watoto wa mama mda wote kudeka ukimnyima papuchi anaenda kukusemea kwa mamake
Hata mimi sijawahi kumuelewa Manara aisee, sema ndiyo hivyo tena, wabongo tuna shida mahali.Manara mwanaume suruali tu na hana akili wala ethics za kazi yake ila vile bongo uswahili uswahili wanaona sifa za bure.
Mpira mie napenda na ni shabiki kindakindaki loh.
Kesho nitafungua PM
Safi sana mkuu.umeamdika swadakta kabisaa na umeni bless.this is how the brave kid is n wazaz wako walikuchana live na ukajikuta unaji adjust mwenyeweNakumbuka wakati niko mdogo, mimi nyumban ndo first born....nilipita kipindi kigumu sana katika ukuaji, hasa nilikua naona waziwazi jinsi ambavyo wadogo zangu mapacha walivyokua wanapenda. Hawa mapacha ni wakike na wakiume, bwana hwa jamaa darasani walikua wazima..hivyo niliona ambavyo mama anampenda mdogo wangu wa kiume na baba alikua anampenda mdogo wangu wa kike. Iliniumiza na kuninyima raha, kuna siku tulikaa kibarazani, sijui ilikuaje tukawa tupo watatu mimi, mama na baba. Ndipo nikawaambia wazazi wangu kiukweli nyie mi hamnipendi mnawapenda hawa wenzangu, ila mama akapinga na akasema hapana si kweli.
Mimi kutokupendwa kwangu kulitokana na sababu nyingi, kama ugomvi aseeh wiki haipiti sijaleta kesi nyumbani, hizi ngumi nimepigana sana.
Kingine darasanai sikua nafanya vizuri kama watoto wengine, hasa huyu wakiume ndo alikua anakua wakwanza mara nyingi, huyu wa kike labda watatu hivi. Ila namba zangu mi huko 20 na kitu.
Kiukweli kutokuoneshwa sipendwi kulinikomaza kiakili, na nikaanza kupambana na kuwa mtu ambaye nataka kuwaonesha ndani yangu kuna kitu.
Kwasasa nyumban mi ndo napendwa hasahasa mama yangu, ananipenda sana na hilo nalijua na nampenda sana mama kuliko maelezo.
Nawasilisha.
Nashukuru wazazi wangu waliweza kubalance hiyo hali. Tupo wa 4 lkn sijawahi hisi nani anapendwa zaidi. Tumekuwa treated equally kwenye kila kitu.
Now nina Mtoto mmoja tu mapenzi yote yapo kwake.
Upendo wa mzazi kwa mtoto mmoja haimaanishi kua hao wengine hawapewi wanachohitaji na hawapendwi, kila kitu kitakua sawa kabisa, ila ukweli ni kwamba kati yenu wote kuna mmoja ndio favorite.Nashukuru wazazi wangu waliweza kubalance hiyo hali. Tupo wa 4 lkn sijawahi hisi nani anapendwa zaidi. Tumekuwa treated equally kwenye kila kitu.
Now nina Mtoto mmoja tu mapenzi yote yapo kwake.
Huu ndio ukweli first born ndio mara nyingi ndio favorite wa wazazi last born ni anadekezwa tu.Mimi ninao wawili ila huyu mkubwa aisee nadhani kuna kitu cha ziada mimi na yeye
Wabongo hatupendi kufata ethics na nidhamu majority ni sadist ndio maana wanakuwa Happy wengine wakitukanwa na kuzalilishwa loh.Hata mimi sijawahi kumuelewa Manara aisee, sema ndiyo hivyo tena, wabongo tuna shida mahali.
Asante sana, nitashukuru ukinifungulia PM my dear. Yani sijui kama ntalala usiku huu kwa ambavyo naisubiria kesho ifike; ambayo kimsingi imeshafika coz sasa hivi ni saa 02:55 usiku..[emoji3526]
[emoji23][emoji23][emoji23]yes mkihangaika tunafurahiaKumbe sometimes mnatunyima mzigo mkisikilizia reaction?
Sijakataa hilo linalowezekana. Nilichomaanisha mimi ni kwamba sijawahi hisi nani ndo favourite. Walijua kufanya tusigundue...hakukuwa/hakuna upendeleo wa wazi wazi.Upendo wa mzazi kwa mtoto mmoja haimaanishi kua hao wengine hawapewi wanachohitaji na hawapendwi, kila kitu kitakua sawa kabisa, ila ukweli ni kwamba kati yenu wote kuna mmoja ndio favorite.
Wewe inabidi utulie na kujifunza , tena usikilize kwa makini kwa wengine. Mtoto mmoja hauwezi kupima au kulinganisha kiasi cha upendo. Ila fanya fanya mrekebishe mkamletee mdogo wake mwenzake
Ha haaa mdogo wake haji tena nilishafunga hiyo chapter. She's 18 sasa.