Hivi umewahi kumpiga girlfriend wako?

Hakika kujishusha ni muhimu na si ujinga, wote mkipanda mtaishia kuumizana tu, wengine tunaogopa afu wanaume mlivokomaa hivo eti umletee jeuri si atakuua mmh ugali bado naupenda mimi🤪
 
Aisee niliwahi mpiga dem wangu Nikahisi nimeua sitowahi rudia, maana skuhyo ndo nlijua hasira hasara. Inshort wanawake ni kama watoto kuwaelewa ni kazi sana, Nakumbuka Nilikua naongea na mteja wangu alipiga cm usiku ni mwanamke kuna mzigo alihitaji kuupata alfajiri sana afu n hela nyingi kiasi. Ile naongea nae hatujamalizana dem kanipokonya cm anamtukana bila kuuliza aisee, mixer kukata cm. Nilimpiga makofi kwa hasira nakumbuka alikua mjamzito mimba ya wiki mbili. Iliharibika dam zinavuja analia tu nikaanza kuhangaika usiku ule kutafuta usafiri saa kuwahi hospital. Nilijua nimeua maana alizimia, Mpaka Leo sijawah kudhubutu tena . Akinikwaza huwa naondoka tu kukaa mbali kwa mda then narudi hasira zikiisha.
 
Hahah!njia yako ya usuluhishi nmeipenda.I wish I could be ur partiner!!!tutafanya namna tukupe kakitengo pale UN
 
Siku hizi magonjwa mengi ukjona kama ana kuzingua unampiga chini.
 
Juzi nimekungunta mtoto wa watu mangumi vifuti vya kutosha akajivutavuta akaenda kwao,nilivyotulia kichwani nikaanza kirudunia jinsi nilivyokua nampiga aisee sikulala, nilikua nawaza anaweza kulata moto, nikawa nawaza jinsi navyofatwa na mapolisi napelekwa jera kulala mchongoma dah! + story za jera kua ukilegeza wanakulegeza, kulipokucha nikamtafuta dogo wa mtaani kwao nikampanga akaangalie kama fulani kaamka dogo naleta taarifa mimi niko mbali kweli namchungulia nilivyoona kuna usalama nkajitokeza kamuuliza vipi akanijibu kaamka yupo anafua, nikashusha pumzi

Nimeapa sitopiga mtoto wa watu tena mimi hata aniudhi vipi.
 
Uliua mtoto tumboni unatakiwa ushtakiwe upigwe mvua mia saba.
 
Mwanaume dhaifu tu ndio anapiga mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…