Hivi unaanzaje kuwashtaki Qnet?

Hivi unaanzaje kuwashtaki Qnet?

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
5,566
Reaction score
5,477
Hivi unaanzaje kuwashitaki QNET?

Kikwelikweli kabisa QNET ni matapeli wanaotumia 'FEARS' za mtu kupitia njia ngumu ya kuupanda mlima mkali na mrefu kuyafikia mafanikio kwa kumpa 'shortcut' hewa! ... LAKINI, KWELI KABISA, HAWASHITAKIKI!

Wanachofanya QNET ni biashara halali kabisa ya kumuuzia mtu bidhaa, kwa ridhaa yake kabisa, na kisha kumuambia mteja kuwatafutia wateja wengine ili wakupe cha juu! ... na kadri unavyo'WALETA'😅 wengi zaidi ndo unvyozidi kunufaika! ... yaani nikinunua mali ya shillingi million tano, japo bei halisi ni elfu hamsini, na nikawashawishi wengine kibao, basi naweza kupata hata million mia moja ... na hawakunyimi!
BIDII YAKO TU! 😅 WALETEEE!

SASA WADAU HEBU NIAMBIENI, HASA WANASHERIA, TUNAWAFUNGULIA MASHITAKA QNET KWA VIFUNGU GANI VYA SHERIA?

NB: HAWA JAMAA WANA LESENI HALALI YA BIASHARA NA SERIKALI INAWATAMBUA! ... AMMA NIMELISHWA MATANGO-PORI?

WADAU, MJADALA HUO MEZANI HEBU LETENI HOJA TUKAWASEMEE HAWA QNET KWA MAMA!

UPDATE:
UKIPATA MUDA NA MB😅:
 
BIDII YAKO TU! 😅 WALETEE!

SASA WADAU HEBU NIAMBIENI, HASA WANASHERIA, TUNAWAFUNGULIA MASHITAKA QNET KWA VIFUNGU GANI VYA SHERIA?

NB: HAWA JAMAA WANA LESENI HALALI YA BIASHARA NA SERIKALI INAWATAMBUA! ... AMMA NIMELISHWA MATANGO-PORI?

WADAU, MJADALA HUO MEZANI HEBU LETENI HOJA TUKAWASEMEE HAWA QNET KWA MAMA!
Q net sio matapeli,

Mwanzoni watu walipiga pesa Sana, unajiunga ,unachotakiwa ni kutafuta wateja, ukikosa pesa yako imepotea na ukipata wateja unapata pesa zaidi

Kinachowashinda watu ni namna ya kutafuta hao wateja.
 
Inajiendesha kama forever living hizi zote ni network marketing kipato chako kinakua kutokana unavyoingiza wateja, naumbuka 2012 nimekutana na mtu ananiambia unaweza kuifanya foreve livingi kama sehemu ya kipato cha ziada kiingilio kipindi kile ilikua laki6 sahivi nasikia laki8 ukweli ni kwamba hizi network marketing ni ngumu sana kwanza watanzania wengi hawana elimu ya kutosha na kingine hizi biashara hazihitaji mtu mvivu na zinahitaji muda kuzifanya sio rahosi kutoa seminar ukapata vichwa ni panaugumu kidogo
 
Q net sio matapeli,

Mwanzoni watu walipiga pesa Sana, unajiunga ,unachotakiwa ni kutafuta wateja, ukikosa pesa yako imepotea na ukipata wateja unapata pesa zaidi

Kinachowashinda watu ni namna ya kutafuta hao wateja.
Kwahiyo mm nitapeliwe halafu nimtafute mtu mwingine atapeliwe kwa kigezo cha mm kurudishiwa hela yangu ?[emoji706][emoji706]
 
QNET ni mwishoo! 😅
... yaani unaambiwa kwamba wao hawataki 'middlemen', kwamba bidhaa inatoka kiwandani, inapita kwao tu na, moja kwa moja, inamfikia mteja!
BEI SASAAAA! 😱🤡😅😅😅😅😅💥
Kuna wale madogo wa mbezi walikuwa wanahojiwa...mmoja akasema yeye amenunua centa kwa million tano, mi nikajua hiyo centa ni gari...
Kumbe chakula!!😂😂😂
 
Back
Top Bottom