Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Hivi unaanzaje kuwashitaki QNET?
Kikwelikweli kabisa QNET ni matapeli wanaotumia 'FEARS' za mtu kupitia njia ngumu ya kuupanda mlima mkali na mrefu kuyafikia mafanikio kwa kumpa 'shortcut' hewa! ... LAKINI, KWELI KABISA, HAWASHITAKIKI!
Wanachofanya QNET ni biashara halali kabisa ya kumuuzia mtu bidhaa, kwa ridhaa yake kabisa, na kisha kumuambia mteja kuwatafutia wateja wengine ili wakupe cha juu! ... na kadri unavyo'WALETA'😅 wengi zaidi ndo unvyozidi kunufaika! ... yaani nikinunua mali ya shillingi million tano, japo bei halisi ni elfu hamsini, na nikawashawishi wengine kibao, basi naweza kupata hata million mia moja ... na hawakunyimi!
BIDII YAKO TU! 😅 WALETEEE!
SASA WADAU HEBU NIAMBIENI, HASA WANASHERIA, TUNAWAFUNGULIA MASHITAKA QNET KWA VIFUNGU GANI VYA SHERIA?
NB: HAWA JAMAA WANA LESENI HALALI YA BIASHARA NA SERIKALI INAWATAMBUA! ... AMMA NIMELISHWA MATANGO-PORI?
WADAU, MJADALA HUO MEZANI HEBU LETENI HOJA TUKAWASEMEE HAWA QNET KWA MAMA!
UPDATE:
UKIPATA MUDA NA MB😅: