Hivi unadhani kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume tofauti na zamani?

Matatizo ya nguvu za kiume ni matatizo ya Dar es Salaam.

Usichukue matatizo ya watu wa Dar ukayafanya ya nchi nzima.

Dar wanapata matatizo kama hayo kutokana na LISHE DUNI.

Dar es Salaam vyakula ni viporo na maisha yamejaa STRESS balaa.
 
Nadhani hii imekaa kisaikolojia zaidi mind zetu kuna picha zainatunzwa huko sasa ukimwangalia mkeo kale ka memori ulikotunza kuchwani wakati unamwoa enzi hizo hakasomi. Akipita mtu mwenye sifa kama alizokuwa nazo mkeo enzi hizo lazima mapigo ya moyo yabadilike kidogo 😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matatizo ya nguvu za kiume ni matatizo ya Dar es Salaam.

Usichukue matatizo ya watu wa Dar ukayafanya ya nchi nzima.

Dar wanapata matatizo kama hauo kutokana na LISHE DUNI.

Dar es Salaam vyakula no viporo na maisha yamejaa STRESS balaa.
Sawa mkuu. Lakini mbona hata vijijini kuna baadhi ya wanakijiji unakuta nae anapitia situation kama hiyo mkuu? na wakati wao ndo huwa wanasifika kwenye hayo mambo. Wanasemaga mwanaume wa kijijini akimkamata mwanamke wa mjini mbona ataomba poo,,!! Umkute hasa yule muangusha magogo porini kwa ajili ya mikaa,, inakuwa hapatoshi.
Lakini nawao nasikia hamna kitu.. Sasa sijui tatizo ni lishe au saikolojia?
 
Tatizo ni utandawazi. Zamani wanawake walikuwa hawaridhishwi na wanaume lakini hawakulalamika. Sasa hivi wanaambiwa ili ulidhishwe mwanamume afanye saa zima. Akitoka hapo anenda kusimuliana na mashoga zake wanajazana ujinga na uongo juu.
Zamani wanawake walijua lengo la kuolewa ni kuzaa basi, ndiyo sababu makabila mengine yalikuwa yanawakeketa. Kila mwanamke ana njia yake ya kuridhishwa, sasa akisikiliza stori za wengine utasikia akisema " kumbe kama ni hivyo mimi sijawahi kufikishwa kileleni."
 
Unasikia wapi ??

Matatizo ya nguvu za kiume yapo kila sehemu lakini siyo kwa kiwango kikubwa kama ilivyo Dar.

Huku vijijini hayo matatizo ni ya kuhesabu sana, tena mara nyingi ni wale ambao ni hanithi kabisa ( walizaliwa hivyo )
 
Uko sahihi kabisa
 
Hakuna mwanaume ambaye hana nguvu za kiume,Bali wanaume wengi siku hizi hawana juhudi binafsi.

Juhudi binafsi ni mwanaume kujituma katika tendo la ndoa kuhakikisha mwenza analizika,ukiwa na nia hyo nguvu ztapatikana tu.
 
1.Mionzi ya simu
2.Uvaaji wa nguo za ndani za kubana viungo vya uzazi.
3.Ulaji usiofaa.
4.Historia ya kuwahi kujichua.
5.Kuangalia video/picha za ngono mara kwa mara.
6.Kutamani maungo ya wanawake wengine/miziki yenye pornographic scenes.
7.Unywaji wa pombe kupita kiasi na uvutaji wa tumbaku.
8.Tabia za kuchepuka chepuka nje au ndani ya ndoa.
9.Kupendelea kujipaka malashi/mafuta makali wakati wa kulala /kujifunika shuka mkiwa na mwenza wako..
10.Matumizi ya muda mrefu ya dawa za chemikali.
11.Matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume.
12.Kufanya kazi ngumu bila kupumzika/kutokulala kwa muda mrefu.
13.Ukosefu wa hewa safi ndani ya nyumba /matumizi ya muda mrefu ya viyoyozi....
14.Tabia ya kutokufanya mazoezi ya mwili walau mara mbili kwa wiki.
Ingawa kuna sababu nyingine uenda zisieleweke kwa leo.
 
Hapo kwenye usafi nakuunga mkono,mwanzoni hata akiwa kwenye siku zake hujui,sasa ngoja mzoeane,hukawii kukuta katoa pamba maeneo huko kalikweka kitandani,hapo nguvu mzee lazima zirudi kwao...
 
Hakuna mwanaume ambaye hana nguvu za kiume,Bali wanaume wengi siku hizi hawana juhudi binafsi.

Juhudi binafsi ni mwanaume kujituma katika tendo la ndoa kuhakikisha mwenza analizika,ukiwa na nia hyo nguvu ztapatikana tu.
Sawa mkuu. Na je, yule ambae anasema kuwa yeye akiiona ya mkewe pampu yake haisimami, eti kisa tu wameishi miaka mingi na wameshazoweana, lakini huyo huyo akiiona ya mchepuko mpya ambae hajawahi kumgegeda pampu inasimama mpaka inamuuma, na kwenye show anapiga vizuri tu tena bila wasiwasi na mchepuko unaridhika tofauti na kwa mkewe.
Hii unaiongeleaje? Kuna juhudi binafsi hapo mkuu?
 
Mzee katumia utu uzima wake kukuteka akili na kafanikiwa Sana

Nguvu za kiume Ni changamoto ya ki saikolojia na upigaji puchu
Mfano wa tatizo la saikolojia ni kwahuyo mzee wako
 
Hata hao wenye nguvu za kiume wanagongewa na wenye hela,so bora utafute hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…