Hivi unadhani kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume tofauti na zamani?

Hao wajaribu kubadiri mazingira yao ya kufanyia sex na mtindo wa kuandaana (waanze kuandaana kiakili kwanza kabla ya kuandaana physically)
 
Hakuna upungufu wowote ni biashara za madawa ndizo zilizoshamiri. Muuza tiba anamwaminisha mtu ana tatizo ili amtibu. Tz kila siku kuna watoto wapya wanazaliwa, ni nguvu zipi hutumika kama si za kiume.
 
Huu ujinga kulikuwa na haja gani ya kupost picha ya uchi,hebu jaribu kuiheshimu hii platform ya JF.
Tukupe umoderator? Wenye platform wenyewe wapo kimya unatumia freebasics unapanua kinywa na kushupaza mishipa ya shingo
 
Tulupe umoderator? Wenye platform wenyewe wapo kimya unatumia freebasics unapanua kinywa na kushupaza mishipa ya shingo
Nililitegemea hilo kutoka kwako,kwani hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipo ishia.
 
Lishe duni inayosababishwa na uchumi wa kati na punyeto mara tu baada ya kubalehe.
 
Sasa kama ulitegemea yanini kushadidia jambo ambalo unalijua tayari
Hii si ni Mr Q forum,bali ni JAMII FORUM inakusanya watu wa rika mbalimbali na ndio maana kuna sheria moja wapo ni kukataza kupost picha za uchi.
 
Hii si ni Mr Q forum,bali ni JAMII FORUM inakusanya watu wa rika mbalimbali na ndio maana kuna sheria moja wapo ni kukataza kupost picha za uchi.
Haya nimeitoa yaishe. Na ile ilikua cartoon sio picha ya uchi ndio maana moderator walikua wametulia tu
 
Hao kwel wapo,hyo inatokana na kutengeneza hisia fulan ambazo zitakutawala na kumuona mkeo n wa kawaida,cha kufanya n kuzuia hisia kama hzo zisikutawale kamwe,

Mfano Mimi nimeshatembea na wanawake wengi tofauti tofauti wengine wabaya hawana mvuto wowote na unakuta labda ana mbunye ambayo haina ladha,hana ufundi na pia labda ana kaharufu fulani,ninapomaliza cha kwanza Kuna kahisia kananijia kuwa sasa "huyu umemtafuta wanini hana ishu ni bora uishie kamoja" hisia za namna hii huwa najitahid kuzizuia zisinitawale,ninachofanya n kuwa Karbu na mwanamke huyo na kuanza kumshika shika,baada ya muda kidogo machine inasimama tena na nnapga show nzuri tu
 
Huyo mzee alikwambia yaishie huko huko we umeyaleta humu dah ngoja tu ajue.
 
1.Porno
2.Masturbation
3.contents za social media nyingi zinashusha sexual confidence ya wanaume.Saivi akili zetu vijana ni kama vile kuwa na nguvu za kiume ni bahati not normal.
4.Vyakula na mazoezi ni factor ya mwisho kbs ktk list

Hii ni mind game na hapa ndo kuna siri kubwa.
 
1. Msongo wa mawazo
2. Kufanya ngono mara nyingi mfano wiki mbili mpaka mwezi mzima mfululizo
3. Lishe duni
4. Kutazama video za mikasi ambayo inapelekea kufanya punyeto na/au ngono mara nyingi.
5. kupata magonjwa kama kisukari ama magonjwa ya moyo.
 
ke ni wakorofi sana japo si wote hata ufanyeje ke akinuna tu ndani lazima haitasimama hata miaka kumi. Hivo
Me anakuwa hanithi wa muda mfupi sijui kwa nini...

Tofauti na ke mpole anae jali atatombwa huyo kila siku atazaa sana km panya chunguza uone...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…