Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

Tatizo ni kuwa watu hawaamini kuwa ndoa huja kwa wakati MUAFAKA (mara lipatikanapo chaguo sahihi) na sio kwa sababu umefikia umri au hatua fulani ya maisha. Wengi zaidi ya 90% huoa/kuolewa kwa sababu ya shinikizo la jamii. Yaani akiona agemates wake wanaoana wanaisha na jamii inaanza kumuuliza wewe lini basi anaolewa/anaoa (na yeyote anayekuja mbele yake) na majuto yanaanza MARA TU baada ya kiapo cha ndoa.
 
Ulichokiongea ni ukweli mtup kwamba unakuta mume kaoa lakini anakuwa hajaridhika na mke huku akiamini huyo si chaguo lake na upande wa mke hivyo hivyo
 
Wengine wanafata pesa au status kuitwa mrs flani unakuta mmoja anatoka royal family hivi
 
Yaan wewe sogea pale kibanda umiza tuangalie movie ya ndoa kha watu wanaoana hawajuani tena wale unakuta jamaa anafanya kazi demu yupo chuo akimaliza tu ndoa hapo mmeajuanaje tabia kwa mfano????
 
Kama ni kweli usemayo, unafanya mambo ya kipumbavu sana mkuu.

Thamini mke, mchepuko ni mapito tu.
 
Wapo sana tu, tena ana fall haswa!
Si tunawaona hadi wanatelekeza familia kabisa!! Alafu wanajichetuaga eti huwa wanachepuka kufuata papuchi tu sio kama wanawake. Sijui ndio kukariri mamabo au wanatuandaa kisaikolojia ilibtukubaliane na upuuzi wao!!
 
Dah! Hii imeniuma, na imagine mkeo anavyokupenda na kukujali, anavyokuthamini kwa moyo wake wote. Anavyohangaika kwa kila hali kutamani uwepo wako, akitamani japo umwambie unampenda, akitamani kuspend quality time with u bila mafanikio!!!! Anavyosononeka unavyompotezea!

Mungu akashughulike nawe aisee
 
That's an emotional thing, usimlaani.
 
Natamani nikutusi ila acha tu nikuache cuz wanaume kama nyinyi ndio mnaosababisha nchi inakua jangwa kwa kukosa mvua kweli unaishi na mtoto wa mtu kama mnyama cyo poa ndoa ni furaha na amani ila kama huwez kuishi nae waweza mwacha aendeleee na mambo yake. binadamu unakua na roho mbya utazani hujazaliwa na mwanamke sema inaonekana kwa tabia zako umekosa malezi mazuri yawazaz au maisha unayoishi ndio maisha ya wazaz wako walikua wanaishi vby bila upendo na ndio maaana unaishi kwa visasi na roho mbya.
 
Yani ukisikia ninge huja likishatokea,kipind namuoa nilijua nimepata kwel,mpole,msikivu,mwelewa,ushung 24hrs after kuoa tu sio mapichapicha hayo gubu,wivu Wa kijinga usisalimiane na Jirani ohh demu wako haijarish at a awe bibi.kinacho nisikitisha ananyota ya kupotze mwanzo mwisho,Ila ndo ivo nishakubal matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…