Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

Kwa kweli afanye tu amuache mkewe, afu auoe huo mchepuko afu ndo ajue kama the grass is greener kama alivyokuwa anaona mwanzoni. Maisha ya ndoa na ya dating/kuchepuka ni tofauti sana
Ndio maana MI nitaendelea kukudate tu,nikikuoa Utamu wote utaisha.
 
Amepewa limbwata huyo si bure,,,, mke ndio kila kitu mpende atatulia anakuwa vile unavyopenda,,,,, mi nachukia michepuko kutwa kuturoga tuharibu maisha yetu,,,,,
 
wengi wenu mnajifanya kupenda 'ma-bad boys' ila 'good boys' wanaowapenda kwa dhati mnawaona kama mazombi!
 
Mwanamke akiforce Ndoa ndio mwisho wake huo.uswahilini wanaita Jamaa kachomekewa, either mimba au mwanaume Kuwa mgeni wa show Kali. Akishajua alioa Kwa sababu ya ugeni WA show ndio anatafuta mwingine Kwa umakini.

Hamna lolote hivyo ndio huwa visingizio vyenu, ulazimishwe ndoa we taahira?!!!!
Sema hiyo ndio huwa kwa wanaume wote wasiojielewa na wasio na akili.
 
Hamna lolote hivyo ndio huwa visingizio vyenu, ulazimishwe ndoa we taahira?!!!!
Sema hiyo ndio huwa kwa wanaume wote wasiojielewa na wasio na akili.
ndio hao wasiojielewa, trust me kuna watu wanaingia kwenye ndoa bila kujua wameingia kwa kupenda au kwa kupewa papuchi, kuna ushamba wa papuchi unajua, we utakuwa hujakutana na mwanaume wa namna hii, walio kutana nao wanaelewa. akishakuwa mjanja ndio anachangamka. kuna watu wanatongozewa mademu wakiwa watu wazima kabisa yaani dunia ya mapenzi inakuwa mpya kabisa kwao, total limbukeni.
 


are you serious??? humpendi Mke wako na unajisifia wewe ni mwanaume khaa shame on you
 
Hv mnataka kusema mtu unaweza kuingia kwenye ndoa kwa kulazimishwa? Hebu acheni uongo basi.
Hv unaweza kujilazimisha kbs kuoa mtu usiempenda na siku ya harusi ukawa na furaha kbs????
Pole yenu kwakweli.
 
Kbs yaan ht mm nawshangaa sana hawa wanaosema walioa watu wasiowapenda.
Kwanza nawapa hongera kwa kuweza kuishi na watu wasiowapenda maana hicho nacho ni kipaji cha hali ya juu.
 
Aiseee masikini pole kwa mke.
 
Unaoa/kuolewa kwa kufata mkumbo.... Kiss flan kaoa/kuolewa n ww et uoe/kuolewa unazan mtapendana vp cku za uson? Tupunguze kukurupuka, kosea kwngine ila c ktk ndoa jmn... Za kuambiwa ongeza n zako
 
U know why wakati nampenda alinisumbua sana, maana alikuwa anagegedwa ovyo mpaka na ndugu zangu.baadae nikaamua kutembea na zipu wazi
Ooooh...pole sana kwa hilo ila mngeachana tu otherwise mtapata magonjwa ..mana we ukichepuka na yy aanze kuchepuka tena na michepuko nayo ichepuke ..yan mnyololo hautakwisha na vijiugonjwa vitapita humo humo
 
Nilishafanya huo utafit ukiona mwanaume mweuc anakupet pet bac hapo ujue mwanamke anakaz yake anajielewa lkn kama huna kipato chochote unachoingiza utapetiwa mwanzo kama haruc bac miez ya mwanzo ukishazaa tu ndo mahaba by by..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…