Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Achana na purchasing power uzi ni Kes vs Tsh basiSomo la GDP Purchasing Power Parity ni muhimu sana
Ilitakiwa tupime pia purchasing power ya currency
Mfano mtu akiwa na USD 1 Kenya na Tanzania ni yupi atanununua bidhaa na huduma nyingi kumzidi mwenzake
Hizi hesabu za kulinganisha thamani ya pesa kati ya nchi moja na nyingine bila kupima living cost kati ya nchi hizo ni bure kabisa
Chapati kenya ni 20 bob ambayo ni 400 tsh alafu kunawatu wanasema kenya wapo vizuri kiuchumi, uchumi gani
Hii imenikumbusha ligi inayoendelea mitandaoni kati ya sarafu ya Ghana na NigeriaSomo la GDP Purchasing Power Parity ni muhimu sana
Ilitakiwa tupime pia purchasing power ya currency
Mfano mtu akiwa na USD 1 Kenya na Tanzania ni yupi atanununua bidhaa na huduma nyingi kumzidi mwenzake
Hizi hesabu za kulinganisha thamani ya pesa kati ya nchi moja na nyingine bila kupima living cost kati ya nchi hizo zina ukakasi
kwa hiyo nikifungiwa ndio nakosa nini wee kichwa panzifact angalia usijepigwa ban ya maisha
Unashangaza unapoamini thamani ya pesa inareflect Uchumi.Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu๐ dah
Japo Lowassa alikuwa ni mwanamtandao lakini aliona mbali sana kufahamu kuwa matatizo mengi ya nchi hii tatizo kubwa lipo kwenye Elimu, Elimu, ElimuUnashangaza unapoamini shamanic ya pesa inareflect Uchumi.
Hebu tuambie Japan ni uchumi wa 4 kwa ukubwa Duniani lakini pesa yake Yen ni chini kuliko Kenya, imakuwaje hapo?
Nituoe humo... Umepigwa wewe Mkuu...Tumepigwa mbele na nyuma
Tumepigwa woteNituoe humo... Umepigwa wewe Mkuu...
Nisaidie uelewa hapa: Endapo mtu(mkenya) atawekeza miradi yake Tanzania na faida atakayopata akaitumia Kenya. Na mwekezaji mwingine( mtanzania) akawekeza Kenya na faida yake akatumia Tanzania, ni yupi atakaefaidika zaidi?Hizo namba zinawapumbaza mpaka hao wakenya wenyewe.
Kwa tafsiri fupi wote mnaopumbazwa na hizo ratio ya ksh na Tshs.
Naandika kwa lugha rahisi kabisa ili namba zisiwadanganye.
Tsh 100,000 ya TZ ni sawa na Ksh 5157 hivi ya kenya.
Sasa swali la msingi linakuja kwa msioelewa
Kwa haraka haraka mtu atalinganisha 5157 ya kenya na 5100 ya Tz, unatakiwa pia ujiulize hichi kitu muhimu sana, ikiwa hapa Tanzania unamlipa kinyozi 5000 kunyoa nywele, kule kenya atalipa 257Ksh. Kwa tafsiri fupi tu mpaka hapa hiyo KSh 5157 ina uwezo kulipia watu wazima 20 kunyoa nywele kwa hiyo sio ela ndogo au haba kama namba yake inavyosomeka.
Je ni kwa mazingira yapi tungesema uchumi wa kenya mkubwa kwa kigezo cha pesa yao kuwa kubwa kithamini kuzidi yetu.
Jibu lipo hapa narudi kwenye ile 100,000 ya Tzs na Ksh5157 ambazo kithamani zipo sawa, uchumi wa Kenya ungekuwa mkubwa na kubebwa na currency yao endapo, kinyozi wa kenya angelipwa hata 3000Ksh kwa kunyoa mtu mmoja, ambapo kwa Tzs huyu mtu angekua amelipa kiasi cha Tsh 58,168 hapa kweli tungesema tupo hoi bin taaban na tungesema hawa watu kweli uchumi wao ni mzuri sana.
Ndivyo ilivyo kwa America pia mtu anaenda salon ela ya chini kabisa unakuta analipa 50 USD kunyoa nywele wakati hiyo 50USD kwetu ni inafanya mambo mengi ila kwa mwenzetu kule ni mteja mmoja vs wateja 20 au 30 huku kwetu.
Nadhani wa kuelewa wataelewa๐๐๐
Ilitakiwa wanunue chapati Tsh ngapi ili uchumi wao uwe mkubwa? Vipi sisi tunanunua bei kubwa kuliko wao, uchumi watu ukoje?Chapati kenya ni 20 bob ambayo ni 400 tsh alafu kunawatu wanasema kenya wapo vizuri kiuchumi, uchumi gani
Vipi kuhusu dola ya US na shilingi ya TZ, bado thamani ya fedha haiakisi hali uchumi?Unashangaza unapoamini thamani ya pesa inareflect Uchumi.
Hapo ndo utofauti uliopo, number zinaweza kukudanganya lakini Kenya maisha ni magumu sanaYeah hafu wao Maji 1L ya Dasani KES 100 ambayo sawa na Tsh 2,000
Wakati sisi 1L TSH 700
Hii inaenda sambamba na malipo: posho, mshahara, tips nkHizo namba zinawapumbaza mpaka hao wakenya wenyewe.
Kwa tafsiri fupi wote mnaopumbazwa na hizo ratio ya ksh na Tshs.
Naandika kwa lugha rahisi kabisa ili namba zisiwadanganye.
Tsh 100,000 ya TZ ni sawa na Ksh 5157 hivi ya kenya.
Sasa swali la msingi linakuja kwa msioelewa
Kwa haraka haraka mtu atalinganisha 5157 ya kenya na 5100 ya Tz, unatakiwa pia ujiulize hichi kitu muhimu sana, ikiwa hapa Tanzania unamlipa kinyozi 5000 kunyoa nywele, kule kenya atalipa 257Ksh. Kwa tafsiri fupi tu mpaka hapa hiyo KSh 5157 ina uwezo kulipia watu wazima 20 kunyoa nywele kwa hiyo sio ela ndogo au haba kama namba yake inavyosomeka.
Je ni kwa mazingira yapi tungesema uchumi wa kenya mkubwa kwa kigezo cha pesa yao kuwa kubwa kithamini kuzidi yetu.
Jibu lipo hapa narudi kwenye ile 100,000 ya Tzs na Ksh5157 ambazo kithamani zipo sawa, uchumi wa Kenya ungekuwa mkubwa na kubebwa na currency yao endapo, kinyozi wa kenya angelipwa hata 3000Ksh kwa kunyoa mtu mmoja, ambapo kwa Tzs huyu mtu angekua amelipa kiasi cha Tsh 58,168 hapa kweli tungesema tupo hoi bin taaban na tungesema hawa watu kweli uchumi wao ni mzuri sana.
Ndivyo ilivyo kwa America pia mtu anaenda salon ela ya chini kabisa unakuta analipa 50 USD kunyoa nywele wakati hiyo 50USD kwetu ni inafanya mambo mengi ila kwa mwenzetu kule ni mteja mmoja vs wateja 20 au 30 huku kwetu.
Nadhani wa kuelewa wataelewa๐๐๐
Hakuna tofauti na kama ipo ni kidoncho sanaaaa nasema hivi kwasababu, hizi chumi zetu zinalingana.Nisaidie uelewa hapa: Endapo mtu(mkenya) atawekeza miradi yake Tanzania na faida atakayopata akaitumia Kenya. Na mwekezaji mwingine( mtanzania) akawekeza Kenya na faida yake akatumia Tanzania, ni yupi atakaefaidika zaidi?
Thamani ya pesa ni MANUNUZI siyo NAMBA.Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania