MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Huyo kocha ni wakufundisha timu za U 15, tena Benin inatakiwa wakate Rufaa kwa Tz kuchezesha mkimbizi.Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo...
Hata hivyo tuna kipa pazia kwa kweli! Benin wameshambuliwa sana ila kwa kuwa wana kipa bora hawajaweza kufungwa! Yule kipa wetu ni shati piaSijawahi kuona ukabaji mbovu kama ule
Kamuachia striker goli zima aamue wapi pa kupiga
Haya ndio madhara ya kuwa na wachezaji kwenye timu ya taifa ambao hawajawahi hata kucheza raundi ya pili ya kufuzu CAF champions league.
Ile beki uchochoro vipHata hivyo tuna kipa pazia kwa kweli! Benin wameshambuliwa sana ila kwa kuwa wana kipa bora hawajaweza kufungwa! Yule kipa wetu ni shati pia
Mbinu za kochaHili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo...
Kweli kabisaSijawahi kuona ukabaji mbovu kama ule
Kamuachia striker goli zima aamue wapi pa kupiga
Haya ndio madhara ya kuwa na wachezaji kwenye timu ya taifa ambao hawajawahi hata kucheza raundi ya pili ya kufuzu CAF champions league.
Si mlisema mumetoa tisa first elevenSijawahi kuona ukabaji mbovu kama ule
Kamuachia striker goli zima aamue wapi pa kupiga
Haya ndio madhara ya kuwa na wachezaji kwenye timu ya taifa ambao hawajawahi hata kucheza raundi ya pili ya kufuzu CAF champions league.
Huyu hadaki mishale kama yule wa yangaHata hivyo tuna kipa pazia kwa kweli! Benin wameshambuliwa sana ila kwa kuwa wana kipa bora hawajaweza kufungwa! Yule kipa wetu ni shati pia
Akili zako zimetekwa na huyu mnyama 🐄Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo...