MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo.
Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa nashangilia Benin. Mtu kama Feisal Salum ( Fei Toto ) anaharibu na Kurukaruka tu lakini hatolewi.
Nitashangilia Taifa Stars pale tu katika First Eleven wakiwepo Wachezaji wa Simba, Azam, Namungo na siyo wa Yanga SC ambao ndiyo Wametufungisha leo kwani hawajui Mpira.
Kocha Paulsen afukuzwe / aondoke.