Hivi unamtoaje Israeli Patrick Mwenda na kumuingiza Beki mbovu Kibwana Shomary? Kwa hasira nashangilia Benin kwa sasa

Hivi unamtoaje Israeli Patrick Mwenda na kumuingiza Beki mbovu Kibwana Shomary? Kwa hasira nashangilia Benin kwa sasa

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo.

Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa nashangilia Benin. Mtu kama Feisal Salum ( Fei Toto ) anaharibu na Kurukaruka tu lakini hatolewi.

Nitashangilia Taifa Stars pale tu katika First Eleven wakiwepo Wachezaji wa Simba, Azam, Namungo na siyo wa Yanga SC ambao ndiyo Wametufungisha leo kwani hawajui Mpira.

Kocha Paulsen afukuzwe / aondoke.
 
Sijawahi kuona ukabaji mbovu kama ule

Kamuachia striker goli zima aamue wapi pa kupiga

Haya ndio madhara ya kuwa na wachezaji kwenye timu ya taifa ambao hawajawahi hata kucheza raundi ya pili ya kufuzu CAF champions league.
 
Benin wako bora zaidi yetu, naona umefika muda wazee wote Taifa Starz wastaafishwe kwa manufaa ya taifa, hao kina Kibu Denis ndio wachukue nafasi.
 
Sijawahi kuona ukabaji mbovu kama ule

Kamuachia striker goli zima aamue wapi pa kupiga

Haya ndio madhara ya kuwa na wachezaji kwenye timu ya taifa ambao hawajawahi hata kucheza raundi ya pili ya kufuzu CAF champions league.
Hata hivyo tuna kipa pazia kwa kweli! Benin wameshambuliwa sana ila kwa kuwa wana kipa bora hawajaweza kufungwa! Yule kipa wetu ni shati pia
 
Hata hivyo tuna kipa pazia kwa kweli! Benin wameshambuliwa sana ila kwa kuwa wana kipa bora hawajaweza kufungwa! Yule kipa wetu ni shati pia
Ile beki uchochoro vip
 
Yani lile shambuliaji lilivoingia na ule mpira kwa staili ile,nami nikajua tu hili jitubaya pale haliwezi kukosa hata kidogo,ilionekana tu lile jitu lishazoea kufunga magoli kwenye ligi kubwa,niliona tu jinsi miondoko yake ilivyo ya kizoefu Mara likafumua kwa ufundi lile gozi,binafsi nimefurahi ule upigaji wa ule mpira ulioenda nyavuni,ijapokuwa inauma kupigwa...sisi kila siku tutakua ni watu wa kujifunza tu...
 
Sijawahi kuona ukabaji mbovu kama ule

Kamuachia striker goli zima aamue wapi pa kupiga

Haya ndio madhara ya kuwa na wachezaji kwenye timu ya taifa ambao hawajawahi hata kucheza raundi ya pili ya kufuzu CAF champions league.
Si mlisema mumetoa tisa first eleven
Hyo kipa yeye anadakia timu ya ndondo au.
 
ila wachezaji wa stars wanastahili lawama na kipigo kilikuwa halali yao huyu feitoto waandishi uchwara na wachambuzi wanamharibu mpaka anajiona star magoli gani ya kukosa hata upigaji wake wa mashuti ni mbovu pia Msuva kakosa magoli mengi ya wazi halafu Dismas sijui kwanini alitolewa labda aliumia maana ndiye alikuwa akifanya kazi kubwa ya kukaba. Benin walikuja kwa malengo ya sare ila wamepata ushindi tusubiri moto kwao kama hatutajirebisha
 
Nyie mnaosema mwenda kacheza vizuri mpira mliangalilia wapi?
 
Back
Top Bottom