Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Mama yako naye alikuwa mlevi .... Ni vile tu aliamua kupumzika ulevi .. ila alikutwa baani na baba yako na walikuwa wanalewa mnoooo.Wanaume wenzangu hivi unaoaje mwanamke mlevi kwa mfano?
Aisee unaanzia kuoa mwanamke mlevi duh so sad
Home niliona baba alikuwa akiingia jumamosi anakuja na bia mbili ndio anampa mama
Sasa najiuliza Hawa wanawake wa sasa wanawezaje kukaa viti vilefu halafu wananyeshwa bia mpaka kumi halafu wameolewa
Binafsi mwamke mlevi hata kumgonga tu Kama amelewa siwezi!!!
Kila mwanamke ni malaya Kwa bwana yake au mme wake ..... Ila sio kila mwanamke ni kahaba.Hii reply yako inathibitisha kuwa mwanamke mlevi ni malaya pia
Labda inasaidia kuchochea maandalizi ya paperHome niliona baba alikuwa akiingia jumamosi anakuja na bia mbili ndio anampa mama
NakaziaMwanamke mlevi ndo mwanamke wa hovyo zaidi duniani
Hujajibu swali walienda mbinguni ??? Hawakwenda??Wewe siyo babu yako
Wao walikuwa na maisha yao.
Mbona wewe hautembei peku kama mababu zetu ?
Nitumie majina, nicheki kama wapo mbinguniHujajibu swali walienda mbinguni ??? Hawakwenda??
Kwakuwa ww hunywi ni Raha sana kuoa mwanamke anayekunywa na ww unakunywaWanaume wenzangu hivi unaoaje mwanamke mlevi kwa mfano?