Ina maana analika pale utakapohitaji.Wakuu
Eti hili jambo la mke wa mtu kugawa number yake ya simu kwa mwanaume asiyemfahamu lina maana gani?
Wakuu
Eti hili jambo la mke wa mtu kugawa number yake ya simu kwa mwanaume asiyemfahamu lina maana gani?
Kwanini umuombe namba mke wa mtu, unatafuta nini?Huyo ni cha wote
Nakazia.itakuwa anataka uwe mke mwenzie au uwe shoga yake wa kuchuma naye kisamvu.
Toto limenona hatari 😋