Hivi unapomuomba mke wa mtu number ya simu akakupa anakua na maana gani?

Hivi unapomuomba mke wa mtu number ya simu akakupa anakua na maana gani?

Kwan mke wa mtu huwez kuwa na shida nae ingine zaid ya hayo mawazo yako ya mizagamuo???

Hao wake za watu wapo kwenye kutoa huduma sehem mbalimbali, ni walimu, manesi au wanashreia kwanin wasiomnwe namba??

Sisemi mengi, ila tabia yako inaonesha una wivu mwingi sana.
 
Wewe unamwomba namba ya nini mke wa mtu?

By the way ukweli ni kwamba wanaume wengi wameoa wake malaya lakini sio sababu ya kuomba namba ya mke wa mwanaume mwenzako ukiwa na lengo la kumtongoza kisha uje kumtomba

Wanaume makini huwa hatufanyi huo upumbavu hata siku moja kwa wake za wanetu na wapambanaji wenzetu

Rule number one:
​
  • Never sleep with another man's wife or co-worker au mfanyakazi wako wa ndani no matter ni mrembo kiasi gani, ndoa yake iko kwenye mgogoro au yeye mwenye anajitongozesha kwako​

Ni usenge wa hali ya juu kumlala mke wa mtu​
Nakazia!!!👿
 
Kwahiyo ukiwa mke wa mtu huruhusiwi kua na namba za watu wengine. Primitive mindset hiyo
 
Wakuu
Eti hili jambo la mke wa mtu kugawa number yake ya simu kwa mwanaume asiyemfahamu lina maana gani?
Ile ile uliyokuwa nayo wewe wakati unamuomba.

Usituuliza maswali ya kijinga wakati majibu unayo.😎😎😎😤😤😤
 
Back
Top Bottom