Hivi unapomuomba mke wa mtu number ya simu akakupa anakua na maana gani?

Kumtafuna mke wa mtu unafungua mlango na wewe mkeo atafunwe na ikibidi na wewe mwenyewe utafunwe, naunga mkono ni upuuzi kutomba mke wa mtu wakati kuna k nyingi tu zinaelea elea.
 
Lawama zinaenda kwa mwanamke mwanaume atajuaje kama ni mke wa mtu

Wewe mwanamke unajua vizuri kbsa wewe ni mke wa mtu kwanini sasa unatoa number?
Hapo uko sahihi, hii ishanitokea, nimemuomba namba wala simjui tumekutana tu njiani story mbili Tatu akanipa, cha kushangaza baadae kumcheki anasema yeye ni mke wa mtu na ana watoto 2. Yote Tina hapa nishaaambiwa skukuu haelewi hajapata, Sasa najiuliza kumbe aliomba namba kwa sababu hii? Au alikuwa na lengo gani kutoa namba wakati anajua yeye ni mke wa mtu?
 
Acha matusi
Usipoangalia namna ya uulizaji wako wa maswali utatukanwa kweli.

Haiwezekani kwa mfano usijue lengo la mke wa mtu kugawa namba za simu kwa mtu asiyemjua !

Rubbish question utatukanwa kweli mkuu!

Jihadhari na kuuliza maswali ya kipumbf pumbaf mkuu, hayakusaidii lolote.
 
Wakuu
Eti hili jambo la mke wa mtu kugawa number yake ya simu kwa mwanaume asiyemfahamu lina maana gani?
Ulipokuwa unaomba ulijua ni mke wa mtu?

Ikiwa ulikuwa unaomba ulitegemea kupewa au kunyimwa

Kama ulitarajia kupewa fanya kilichokusukuma kuomba namba

Kama ulitarajia kunyimwa ila ukapewa fanya ulichotarajia kufanya ungenyimwa.

Mengine ni kuingilia uamuzi huru wa mtu. Unajuaje yeye nae anaimiliki hiyo namba ya simu kwa malengo gani. Yaweza kuwa awe karibu na wateja wake anaowajua yeye. Kakuona unafanana na mteja wake.
 
Jikite kwenye hoja
 
Umenena vema lakini pitia kwa mumewe kama unania njema au pitia kwa mkeo kama umeoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…