Hivi unapotaka kuolewa unatakiwa kutii hisia za mapenzi ama hisia za maisha mazuri?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Watu wawili wanaonesha interest kwangu.

Mmoja ana hela chafu, nikikohoa muamala unasoma. Na kwake ni full kiyoyozi, gari kali, geto kali na mipango ya maisha iko kwenye mstari.

Huyu mwingine mm ndiye nampenda haswa, nikimuona nategwa kihisia kama samaki kaona chambo. Lkn huyu kiuchumi kachoka. Anategemea mshahara na mshahara unategemewa na kijiji (ndugu kibao).

Najiuliza, hivi nikiolewa na huyu wa kwanza tutadumu kweli? Maana sina hisia naye kabisaaa. Kuna muda nakuwa mkali kwake bila sababu, lkn nguvu yake ya kiuchumi inaniweka sawa.

Kwa huyu wa pili pia najiuliza : hivi tutadumu kweli? Kuishi maisha ya kusubiria mshahara, usafiri TZ 11 (miguu), kachumba kamoja kana joto utadhani oven, feni inazunguka mpk inanuka oil. Mmh! Kuna muda nakata tamaa na kutaka kumwaga, lkn hisia za penzi langu kwake zinaniweka sawa.

Ndipo sasa nawauliza. Nitii hisia zipi hapa? Hisia za mapenzi ama za maisha mazuri??
 
5476244a-b721-4f17-a4e8-ab10a10dd623.jpg
 
Olewa na wote
 
Sane advice ni hii ,nenda na aliye jismamia kiuchumi ,mbele ukiamua kwa dhati utapata hisia naye , ogopa Sana mume ambaye ndiye bread winner kwao ,Yaani tegemeo ,utarogwa mpaka kwa ndoto , mwache apange maisha kwanza mbele akisimama atapata mke mwingine .
Ole wako huyo tajiri ajue unamcheat ,hyo bahat hutoipata Tena .kumbuka kila uchao warembo kukuliko wanatua mjini
 
Back
Top Bottom